Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,206
- 12,907
Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata 100.01% na sio 100%!
Kila mmoja anasema lake huko Kenya, wengine wanadai Error za kawaida wengine wakisema kuna kura zimeongezwa kinyume na utaratibu!
Sina shakha Raila anaenda mahakamani ila moja ya hoja itakayoibuka basi ni ya hii Percentage kufikia 100.01%. Wataalam wa Hesabu Jamii Forums mnasemaje?