The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,495
- 2,043
Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi.
Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila kutumia maarifa ni pamoja na kuwaleta polisi kulinda watahiniwa wa shule ya msingi au sekondari.
Suala lingine alizungumzia jinsi wataalam walivyozuia utengenezaji wa cement ya shs 5000 kwa hoja kwamba maghorofa yataanguka, akauliza kwani wananchi wa kawaida wanajenga maghorofa?