wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Tanzania yenye watu milioni 60, ina wataalam 3.3%.......kazi bado sana tu

    Hii ni kwa mujibu wa taarifa za taasisi ya elimu ya juu, kwamba Tanzania yote huko wataalam ni asilimia 3.3% ya mamilioni ya raia wake......shughuli bado sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda unaohitaji ndani kuwe na wataalam wa kutosha kupokea ujuzi wa wageni. ==============================...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wetu wazalendo watuambie 'content' ya chanjo ya COVID-19

    Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:- Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content) Tutafsiri kila kimoja na faida au madhara yake. Bado dunia haikimbilii sana hizi chanjo. Bado vifo vimeripotiwa kwa hizi...
  4. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa wataalam wa Electronics

    Nina sacket zangu za kutoka kwenye fuso super great ambazo zimeungua na kusababisha gari kukosa nguvu Naitaji msaada kama mtu anaweza kuzifix au kuzifanyia utundu wowote mpaka ziwe okay
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanyika kudhibiti harufu za vyoo mahotelini?

    Nimekuwa najiuliza nini hufanyika kwenye vyoo vya mahoteli makubwa kutokuwepo na harufu ndani pamoja na kwamba vyoo hivyo havina madirisha tofauti na majumbani ambamo mtu na hasa mgeni akiingia kama rooms zipo karibu na toilet basi wenyeji mnabaki kujibaraguza kelele puani haidhibitiki.
  6. S

    JamiiForums Tanzania BOT kushusha riba za mikopo ni mpaka waagizwe ili hali wao ndio wataalam wa kushauri zishuke?

    Suala la kushusha riba nchi hii linaonekana kufanyika kutokana na maagizo ya wanasiasa (liko kisiasa) na si Benki Kuu kama wataalamu kushauri au kushusha riba kwa mabenki ili nayo yashushe riba kwa wananchi. Kwa mfano, leo Mama kaagiza Benki Kuu kuhakikisha mabenki yanashusha riba kufika chini...
  7. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuku nimsaidieni tatizo hili kwa kuku wangu

    Ni mzoefu katika ufugaji. Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika. Ni kama vile kaisha chaji. Sauti inatoka kinyonge na hata mda mwingine anaishia katikati hamalizii kuwika mpaka...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Matamko ya Kisiasa yanaharibu Elimu. Mtu mwenye Madaraka anaamka tu na kutoa tamko bila kusikiliza Wataalam

    Mbunge wa Viti Maalum, Tunza Malapo amesema elimu ya Tanzania inaathiriwa na matamko ya kisiasa. Tunza ameyasema hayo jana Jumatano Mei 5, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Amesema kubadilisha mtaala...
  9. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa nguo aina ya kadeti

    Nina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa. Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake. Nipo Dar
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

    Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba kujuzwa garama ya vitu hivi

    Habari za asubuhi wakuu natumai wote wazima, kama title inavosema naomba kujuzwa gharama za
  12. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa umeme

    Mimehamia nyumba yangu mpya ambayo umeme haujafiaka. Nimeplani ninunue solar ya kawaida tu lakini si hizi za makampuni. Ninachohitaji kujua, tv na sub woofer yangu vyote vina njia mbili ya umeme na ya solar. Je, nahitaji kuwa na inveta kuviendesha hivyo vifaa? Au njia ya solar naweza connect...
  13. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, wataalam wa fedha Kitaifa na kimataifa msaada please

    Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa? Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kinga ya Corona isiyothibitishwa na wataalam hii hapa

    Kulingana na uzoefu tulioupata kutoka mwaka jana hadi Sasa tunaweza kusema dawa ya Corona amabayo haijathibitishwa na wataalam wa afya ila inasaidia ni hii hapa; 1. Corona inatibika kwa kumwamini Mungu. Binadamu siku zote anaogopa mauti kumkuta akiwa hayupo kwenye mahusiano mazuri na Mungu...
  15. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Wataalam UDSM wagundua na kutangaza dawa ya Corona(Covid 19) inaitwa FUKIZA

    Wanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na ufafanuzi zaidi tazama video clip hapa chini. DAWA YA CORONA TANZANIA
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa majumbani na viwandani

    Ndugu wa jamii, Napenda kuwatambulisha kwenu mabingwa wa umeme wa majumbani na viwandani. Ukiwa na mahitaji ya kufungiwa umeme nyumbani au kiwandani kwako, ramani za umeme (kwa ajili ya bima, mkopo wa benki, osha, crb, TANESCO), umeme wa jua, ukaguzi wa mifumo ya umeme, service a generator...
  17. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini matunda au mazao yanakuwa na msimu?

    Wadau hili suala sijui ni La kisayansi au sijui niliiteje .napata tabu sana nawaza hivi kwanini matunda yanakuwa na msimu yaani mfano sasa hivi uwezi kupata chungwa wala chenza ni Msimu wa Embe. Mara msimu wa nanasi au hii inatoka nasisi wakulima tunavyopanda au ebu wataalam mtujuze kwanini...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii mitandao kama 'Tinder' na 'Badoo' inaweza kutumika bila malipo? Maana siwezi hata kutuma meseji

    Leo katika kuchezea chezea simu nimekutana na mitandao ya kujuana, kuwa marafiki, kupeana kampani na hata kutafuta wapenzi. Sasa nmeingiza app inaitwa badoo, tagged na tinder zote naona bila malipo ni sawa na kutoweza kuzitumia. Unakuta unataka umtumie mtu meseji inakwambia ulipie elf 30 kwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ameangukia kisogo, anatapika nifanyaje

    Samahani wataalam, kuna suala nashindwa kuelewa hapa, mwanangu ameangukia uchogo toka kitandani mpaka chini akaanza kutapika then akalala asubuhi kaanza kutapika tena, shida inaweza kuwa ni nini haswa? (Mtoto anamiezi 9)
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli nchi haina wataalam wa madini?

    Baraza la mawaziri la Sasa limepata changamoto na ukosoaji mkubwa kwa mambo makuu matano; 1. Halina Waziri full kutoka Zanzibar 2. Halina uwiano wa jinsia 3. Linatuumiwa kuhusu udini na ukanda 4. Wabunge wakuteuliwa kuingia kwenye baraza huku wakiwemo wabunge zaidi ya 300 wamajimbo ambao...
Back
Top Bottom