chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,034
- 3,074
wanawake wapo wapi hapa ?
wanawake mko wapi ?
najua wapo baadhi wanaochomoza, lakini huwezi kuwaweka kwenye mizani moja na wanaume. 50/50 inatoka wapi ?
kuna vitu hawapendi kusikia kwasababu wanapenda kujifananisha kwenye position isiokua yaoSi umewaita ngoja waje
We uko wapi hapo?kuna vitu hawapendi kusikia kwasababu wanapenda kujifananisha kwenye position isiokua yao
hao wote uliowasema, anaeinhia kwenye list ya ma giant ni Marie Curie pekeyakeMarie Curie
Rosalind Franklin
Jane Goodall
Ada Lovelace
Katherine Johnson
Barbara McClintock
Tu Youyou
Jennifer Doudna
Emmanuelle Charpentier
Dorothy Crowfoot Hodgkin
Lise Meitner
Chien-Shiung Wu
Vera Rubin
Rachel Carson
Mae Jemison
Kwa sababu hauijui dunia wewehao wote uliowasema, anaeinhia kwenye list ya ma giant ni Marie Curie pekeyake
Punguza sauti 😁🫴We uko wapi hapo?
Umemsahau recho dangwaMarie Curie
Rosalind Franklin
Jane Goodall
Ada Lovelace
Katherine Johnson
Barbara McClintock
Tu Youyou
Jennifer Doudna
Emmanuelle Charpentier
Dorothy Crowfoot Hodgkin
Lise Meitner
Chien-Shiung Wu
Vera Rubin
Rachel Carson
Mae Jemison
Dada yangu recho dangwa nae yumo ndaniUmemsahau recho dangwa
😀Dada yangu recho dangwa nae yumo ndani