Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.

Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.

johnthebaptist
Umri mkuu.
Umri ukifika mambo mengi unaona ni utoto hasa kujibishana hapa JF

Hata mitoko inapungua inafika muda hata vinywaji unakunywa nyumbani na familia badala ya bar

Kila kitu na wakati wake yawezekana amefika maturity age ni umri wa kujitambua unajikuta unathamini familia zaidi kuliko marafiki na hata kuandika unaona uvivu unaishia kusoma tu

Jamaa atakuwa ana spend muda na familia yake sana kuliko kuchart hapa JF
 
Mmmmh🤔🤔🤔
 
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Kwa mtu alizoea JF, angekuwa anachangia hata mara moja moja.

Lakini inawezekana pia.
 
Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.

Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.

johnthebaptist
Toka jf imefungiwa hajawahi kuingia humu tena. Na kutokana story zake inaonekana ni muhenga, hivyo huenda hajui kuwa ukitumia VPN unaingia humu, ama huenda akawa amefariki pia kwa sababu mbalimbali ikiwemo mo29.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom