Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 44,783
- 36,749
Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Diocese of Dar Es Salaam Tanzania, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC, bado anaandikiwa cha kusoma kwenye vyombo vya habari na Fr.Kitima binafsi, eti kwa niaba ya TEC?
Au mapigo ya walei Lucy Michael na mwalimu wa dini makini sana, katekista Joseph Ludivick wamewapiga knockout ya kisiasa mbele ya madhabahu?
Au changamoto zimeisha Tanzania? Kwanini wameufyata mkia kwa mwendo wa ngiri, mashahidi hao muhimu sana ikiwa kutakua na kesi ICC?🐒
Mungu Ibariki Tanzania