Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

Acha Maneno

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
54
Reaction score
112
Habari,

Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana.

Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu.

NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢

NAUMIA SANA KUONA AKITESEKA HUYU KIUMBE ASIEKUWA NA HATIA WALA UFAHAMU.

Msaada tafadhali.
 
umejuaje kama hana hatia gentleman?
Je,
kama kala dagaa za watu tena za buku kabisa wamuache tu?, au kama kalamba maziwa na unajua bei yake ilivyochangamka kwa sasa?, au vip kama kadokoa mboga ya watu, halafu wakati umemfumania hapo jikoni, akaimwaga kabisa hata kidogo aliyoibakiza?🐒
 
Tafuta doc aliekaribu amfanyie diagnosis kama ni fracture au dislocation then atamfanyia treatment
 
umejuaje kama hana hatia gentleman?
Je,
kama kala dagaa za watu tena za buku kabisa wamuache tu?, au kama kalamba maziwa na unajua bei yake ilivyochangamka kwa sasa?, au vip kama kadokoa mboga ya watu, halafu wakati umemfumania hapo jikoni, akaimwaga kabisa hata kidogo aliyoibakiza?
Hahahaaaaaa !
 
Habari,

Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana.

Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu.

NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢

NAUMIA SANA KUONA AKITESEKA HUYU KIUMBE ASIEKUWA NA HATIA WALA UFAHAMU.

Msaada tafadhali.
Mpeleke duka la kilimo na mifugo huwa kuna madoctor pale
 
mkuu nakuhakikishia ukimpeleka huyo paka akapata matibabu utapata mvua ya baraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom