Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?

Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?

ni hao! Ta jia hao ! nenda chuo kikuu cha Dar es salaam ,, lakini ubaya wa kichina utajua tu yale utakayofundishwa darasan, nje nahapo labda uende china ukaishi huko miaka kadhaa
 
Mkuu
Kichina. Sasa Kimechacha
Wahi UDOM Chap Upate Lugha Ya Urusi Toka ST. Petersburg
Maombi Ni Mengi Ukiona Ukakasi Wahi Chuo Cha Ushirika MOSHI
 
ni hao! Ta jia hao ! nenda chuo kikuu cha Dar es salaam ,, lakini ubaya wa kichina utajua tu yale utakayofundishwa darasan, nje nahapo labda uende china ukaishi huko miaka kadhaa
kuna jamaa alijifvnza kichina tz, alipofika beijing anasema aliluwa anajua kusalimiana tu.

Zal jain
 
kuna jamaa alijifvnza kichina tz, alipofika beijing anasema aliluwa anajua kusalimiana tu.

Zal jain
Nikweli kawaida lugha haifundishwi darasani. Lugha yeyote ukitaka kuifahamu nenda sehemu husika kakae huko , otherwise kama unataka kushila maneno machache na labda unaweza kuwa mwalimu wa kufundisha hayo hayo uliyofundishwa darasani lakini sio kuweza kutafsiri au kuwasiliana
 
Back
Top Bottom