Hivi Lijualikali yuko wapi?

Hivi Lijualikali yuko wapi?

At one time alikuwa Mkuu wa Wilaya??? then nini kilitokea?
Au bado yupo serikalimi?

Namfananisha na Yeriko Nyerere anavyotapatapa kitafuta ahueni!
WIVU TU UNAKUSUMBUA GENTLEMAN RIGHT?:1Head:
 
Bado Ni DC Moja Ya Wilaya Mkoani Rukwa Ingawa Nafsi Inamsuta Punde Atarudi Kama Msingwa Akiliia Tu
Anarudi Analia x 3
Kamwe hawezi kurudi CHADEMA. Kiufupi amenyea kambi. Ni tofauti na Mchungaji Msigwa. Lijualikali alifikia mpaka hatua ya kuwashambulia makada wa CHADEMA waliojaribu kukusanyika kwenye hiyo Wilaya ya Nkasi kwa vikao vya ndani vya chama. Sasa mtu kama huyo siku akirudi atakaribishwa na nani chamani?
 
Uzi wa kijinga sana. Kujua kama mtu ni mkuu wa wilaya ni mpaka umuanzishie uzi zama hizi za kidigitali?
 
Kamwe hawezi kurudi CHADEMA. Kiufupi amenyea kambi. Ni tofauti na Mchungaji Msigwa. Lijualikali alifikia mpaka hatua ya kuwashambulia makada wa CHADEMA waliojaribu kukusanyika kwenye hiyo Wilaya ya Nkasi kwa vikao vya ndani vya chama. Sasa mtu kama huyo siku akirudi atakaribishwa na nani chamani?
Arudi kufanya nini kwanza?!!! Yupo busy na maendeleo ya wananchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom