Natafuta chuo Cha kufundisha part time tutorial assistant?

Natafuta chuo Cha kufundisha part time tutorial assistant?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,105
Reaction score
24,470
Wajuzi wa hizo kazi naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu au kuwa na taarifa.
Baada ya kumaliza kazi zangu za Kila siku huwa nakuwa na muda kidogo ambayo naona kama unapotea.
Sasa nahisi kama ninaweza kuutumia muda huo kujiongezea kipato kwa kuutumia ujuz na maarifa niliyojaaliwa na mungu muumba pamoja na juhudi pia
Nakuja kwenu kuuliza wapi nitapata chuo kikuu au Cha kati Ili niwe mkufunzi msaidizi wa muda ? Naweza kufundisha kwa ufasaha kabisa utawala na rasilimali watu,.communication skills, Sheria na mahusiano kazini , manunuzi na mengine yahusuyo
Naombeni msaada mwenye kujua.
 
Andika barua kwenda vyuo unavyoona vinafundisha masomo hayo, na una vigezo. Tuma barua ya maombi kwa vyuo tofautitofauti. Wasiliana sana na wahadhiri wa vyuo tofautitofauti, huko ni rahisi kupata mustakabali kuliko humu JF
 
Taarifa yako haijakamilika.. upande wa taaluma.. una nn PGD au Master's.. wadau watakuuliza tu
 
Kwenye ukufunzi huku, jitahidi kutoa machapisho ya kitaaluma ili kujiongezea nafasi nyingi za kuajirika.
 
Back
Top Bottom