The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye.
Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini?
Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti.
Serious, sio kwa...
Mama alianza vizuri sana. Tukawa na matumaini makubwa. Jua la demokrasia likaanza kuchomoza. Sote tukadhani kuwa tumeanza safari upya tukiwa na injini iliyosukwa upya.
Nini kilitokea mpaka mradi huu wa kusuka injini ya safari yetu upya ukafa? Kuna anayejua?
Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi.
Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara.
Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa mbele ya chombo chochote cha sheria na pia wana Ngara hawakuwahi kusikia uhalifu ama kosa lake...
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.
Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security.
Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa.
Sasa...
Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili.
Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa.
Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu.
Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi.
Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi...
Anandika Godlisten Malisa...
"Mimi binafsi siamini kama vijana walihongwa. Hakuna mtu wala taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima.
"Na kama ilifanyika hivyo basi vyombo vya ulinzi ni dhaifu. Kama yupo mtu anaweza kuhonga vijana nchi nzima na vyombo vya ulinzi visijue mpaka...
Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost.
Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost.
Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
Baadhi ya viongozi wa dini nikama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi badala ya kumtumikia Muumba madhara ya kuchanganya maji na mafuta kwenye chombo kimoja na mwisho kuishia kutengana
Kwa taarifa yao ni kuwa
-Muumba hawaelewi
-Serikali...
TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC)
ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025
Mwandishi,
H.M Mponda (Msema Kweli)
MA, Digital International Relations & Diplomacy
Mtanzania Mzalendo.
Utangulizi.
Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
bila
dola
fake
huru
kufanya
kujali
kuondoa
kupambana
kushinda
maridhiano
mda
mikononi
mtu
sana
tafadhali
umri
vyombo
vyombo vya dola
wahuni
wako
wapi
watawala
wenyewe
Kama ningekua kwenye nafasi shirika la kwanza kufukuza Tanzania lingekua RedCross. siku ya maandamano hawa walitakiwa kusaidia Majeruhi na kubeba waliokufa na kupigwa Risasi au kazi yao hasa Tanzania ni nini?
Mdau unaweza nisaidia kazi ya Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania ni nini hasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.