Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,225
- 39,358
Wakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake.
Leo nimekuwa tagged na member mmoja kunikumbusha mjadala wa kutoonekana kwa member mwenzetu JOHNTHEBAPTIST.
Sisi members wa JamiiForums ingawa hatufahamiani lakini tumejenga kujali uwepo wa kila mmoja wetu hapa jukwaani. Hata wale member wa hovyo hovyo kama Lucas Mwashambwa Tlaatlaah n.k. wanaotukuza mateso ya Watanzania huku wakiwasifu na kuwaabudu watesi wetu bado tunaamini wanastahiki kulindwa faragha zao na uwepo wao hapa ni haki muhimu pia
Post ya mwisho ya JOHNTHEBAPTIST ilikuwa ni tatehe 06 September 2025.
Wenye kufahamu lolote kumhusu mtujuze lakini tunamkaribisha jukwaani inavyowezekana tuendelee kumpiga gubu muuaji aliyeapishwa kiharamu

Baada ya hapo hatujamsoma tena jukwaani.Hisa za migodi amenunua kwenye Stock exchange markets za Australia na London
Swali lingine