Mbalizi feedstuff
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 199
- 212
Habari wakuu, ninatarajia kufungua kiwanda kidogo cha utengenezaji wa vyakula vya mifugo hivyo nipo kwenye utafiti wa kuwatqmbua suppliers wa ingredients mbalimbali za kuchanganya kutengeneza cha Mifugo.
Moja ya ingredient ninayotaka kujua naweza kuipata ni Fishmeal au tuseme dagaa omena wenye kiwango cha protein 50%-60%, matamanio yangu iwe katika mfumo wa unga na yenye ubora wa kulisha mifugo.
Naomba kuwasilisha.