wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa Dar es Salaam?

    Wakuu habari nataka kuingia kweny ndoa Je, vipimo vya ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa dar es salaam na gharama zake zipoje
  2. FK21

    JamiiForums Tanzania Wakubwa hapa nimefail wapi?

    Huwa na mazoea ya kwenda bar flani kugida sasa Kuna mdada huwa ananihudumia Leo kaja kukaa karibu yangu ananihudumia vizuri kama kawaida maswali yakaanza sasa Kwanini unakunywa beer ? Nikamjibu tu napenda akaniangalia usoni akasema wewe muongo Ila unaonekana hauna mwanamke hilo sikumjibu...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Samia na mashehe watatufikisha wapi kama taifa?

    Si siri wala uzushi. Tanzania sasa inaongozwa na waislam wakiongozwa na sheha na mashehena wao waliojaa uchu, uroho, uzwazwa kiasi cha kuwa vipofu wa balaa wanaloandaa. Tangu yafanyike maandamano ya Oktoba 29, waliokuwa wamejificha nyuma ya pazia wamejitokeza wazi wazi. Baada ya tukio hili...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tupunguze makelele kwa refa tuongelee magoli waliyokosa wakisoma wajue wanarekebisha wapi

    NAONA MAKELELE.MTANDAON KILA.KONA WELL NASHAURI WAJUE PIA KUNA MAKOSA WALIFANYA YAMEWAGHARIMU WAKISOMA.WASIKIMBILIE WAMEONEWA NA REFA JE ZILE NAFASU 2 WANGETULIA SI WANGESHINDA MECHI ASSUME WANGEKOSA. MOJA MEANS DRW JE UDHAIFU ULIKUW WAPI NA UKO.WAPI NA NN KIFANYIKE TUBORESHE TIMU ZETU...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wairan Wakiunda Bendera ya Iran kabla ya Mullahs, Watanganyika mnakwama wapi?

    https://x.com/ShayanX0/status/2007597953394061390 Ukiwa ndani ya nyumba yako tafuta vitambaa vitatu shona bendera ya Tanganyika.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Peter Msigwa yuko wapi?

    Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
  7. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mmarekani aliyekamatwa na mabomu mpakani Sirari igizo hilo limeishia wapi?

    Vyombo vyetu vya usalama kumbe wakati mwingine wale wanaovidharau na kuvikebehi wanastahili kusikilizwa. Inakuwaje jambo Zito kama hilo wanaleta taharuki kumbe hakuwepo na hata linalo fanana nalo. Mnatuletea picha za mtu kavaa kaunda suti zake unifomu ya uhudumu wa ofisi eti ni Comando wa US...
  8. curie

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Naibu Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Biteko?

    Kwa ukimya huu ndio naamini Cheo ni koti la kuazima tena kwa Muha .. Cc Bashungwa
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima alikuwa wapi? Hao watu anaosema ameaacha kama wafungwa wapo wapi?

    Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa. Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
  10. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

    Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa. Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu. Ndiye aliyekuwa mastermind na ndio maana serikali inakigugumi kizito kuchukua hatua yoyote kwani kila kitu kipo under his...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Unaukaribishaje mwaka mpya? Unaukaribisha ukiwa wapi?

    Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha! Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker zinakita, basi najiona kama mimi ndio dullyboy. Location: DSM
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Serikali baada ya kukusanya kodi hatuambiwi zinaenda wapi

    Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi chama kikuu cha upinzani CHAUMMA?

    Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania John Heche hutubia taifa uwambie wanachadema Sasa mnaelekea wapi 2026 baada uchafuzi KUISHA na uwambie wategemee Nini 2026?

    Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Leo tunatoka kwenda wapi?!

    Kwa upande wako skukuu yako unaenda wapi? Mimi nitakuepo home tu ila natamani niingie town nidake maini yenye utumbo msafi nikapige nayo bia mbili tatu! Kula bia bila maini ikiwa pembeni huo ni uhujumu uchumi.
  18. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Makamanda nauliza D25 mmefikia wapi?

    Makamanda Shimboni! Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa? Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa. Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi...
  19. Life2

    JamiiForums Tanzania Barua ya kauli kuchinja waandamanaji inaelekezwa wapi?

    Juzi tumesikia vijana wawili wa kikatoliki kuandika barua kwenda wa Papa dhidi ya Msema haki Pd.Dr Kitima guru wa Sheria ndani ya kanisa Katoliki la Mitume. Vijana wale kutoka Parokia mojawapo sikuwasikia wakiandika barua kwenda kwa Papa wakati Father anashambuliwa na madhulumati. Vijana wale...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Hivi kanda Maalum ya Dar ikifa leo itaenda wapi

    Dhambi zoooote zinatendwa na kanda hii. Je ikifa leo itaenda wapi, mbinguni au jehanamu?
Back
Top Bottom