Mbona ilikuwa mpya sana na ya kisasa kabisa auIpo kwa fundi Maiko anabadilisha betri ingawa vilevile anadai aftatu yake.
Ilipofika haikuwa na sehemu nzuri ya kuchemshia kahawa na juisi ya ubuyu.Kwa sasa inakarabatiwa iwekewe mfumo wa kisasa wa kupika kwa kutumia kuni na pumba za mpunga.Mbona ilikuwa mpya sana na ya kisasa kabisa au
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ilipofika haikuwa na sehemu nzuri ya kuchemshia kahawa na juisi ya ubuyu.Kwa sasa inakarabatiwa iwekewe mfumo wa kisasa wa kupika kwa kutumia kuni na pumba za mpunga.
Bila kusahau sehemu maalum ya kutengenezea urojo na sharubatiIlipofika haikuwa na sehemu nzuri ya kuchemshia kahawa na juisi ya ubuyu.Kwa sasa inakarabatiwa iwekewe mfumo wa kisasa wa kupika kwa kutumia kuni na pumba za mpunga.
Upo sahihi.Hata kuweka chungu kizuri kilichobumbwa kwa mfinyanzi madhubuti kwa ajili ya kuhifadhi kungu na tambuu za kutafuna safarini.Bila kusahau sehemu maalum ya kutengenezea urojo na sharubati
Swadakta, pia kashelfu kadogo pembeni cha kuweka ngumu kumeza,Upo sahihi.Hata kuweka chungu kizuri kilichobumbwa kwa mfinyanzi madhubuti kwa ajili ya kuhifadhi kungu na tambuu za kutafuna safarini.