wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Uko wapi choice variable?

    Najua kwa sasa, tutakuwa pamoja na kusema kauli yetu pendwa ,haki ni tunu ya amani. Choice variable ni muungwana sana, lakini alikunywa kipindi cha nyuma mvinyo wa udhalimu, sasa amepata uponywaji wa nafsi na mwili kwa ujumla, sio kama roboti matope Tlaahtlaah. Lakini tuje na kauli moja kwa...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa umepotelea wapi kwenye umaarufu wa kisiasa?

    Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa. Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea. Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisikusahau. Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
  4. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Pesa mwezi huu Disemba 2025 zimeenda wapi?

    Mbona raia hawanunui kabisa?
  5. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hizi nyumba zilizpostiwa na TCRA zipo wapi?

    Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa Lakini picha za nyumba walizotumia mbona kama ni nyumba za mambele wakuu. Ina maana wameshindwa kutafuta nyumba za wananchi wao na kuzitumia kama sample mpaka wachukue picha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  7. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mwisho wa mwaka 2025: Wapi umefanikiwa, umefeli wapi na umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?

    Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani? Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
  8. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Hivi MPAKA mtu unakua na mtaji wa kuwekeza Bilioni 600, mabroo mnaokota wapi mbesa... ?

    Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kiti kiko wapi...! Kigoda je..?

    Kiti kina tafsiri nyingi lakini majumuisho yake ni Ukuu Utawala Enzi Mamlaka Uongozi Niliwahi kuleta simulizi hapa ya "KITI HAPIGWI" Nitaweka link yake kwenye reply Ndani ya familia kuna kiti cha baba(sijawahi kuona kiti cha mama) pengine chake ni kigoda kwakuwa hata kiimani anatambulika kama...
  10. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Hizi stock za chakula tulizo nunua tunazipeleka wapi Sasa?

    Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao? Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani...
  11. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Upo wapi kwa sasa, kwanini upo hapo ulipo kwa kipindi hiki

    Leo ni tarehe 8 December hebu tuambie upo wapi kwa sasa mjini au kijijini! Kwanini upo hapo ulipo Binafsi nipo mjini naendelea na shughuli zangu kama hamna kinachoendelea nchini wewe je?
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Hizi graduation za day care na nursery zimeanzia wapi?

    I salute you kinsmen Wakuu Kuna jambo huwa linanishangaza sana Ninapoishi kuna ukaribu kidogo na day care moja hivi. Sasa jioni nimerudi nikawa naskia muziki mule Kumbe wameweka graduation party wazazi wamealikwa jioni hiyo Yaani kiufupi ni graduation ya watoto kumaliza day care! Hapo...
  13. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wako wapi Makamanda wa JWTZ Meja Jenerali Mhona na Meja Jenerali Mkeremy?

    Kwa muda sasa Makamanda muhimu ambao ni sehemu ya uongozi wa JWTZ hawajaonekana. Nao ni Meja Jenerali Ibrahim Mhona na Meja Jenerali Mkeremy. Tunataka kujua wapo wapi?
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wabunge na wateule wa Samia mbona kimya?

    GT Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu. Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao...
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Najiuliza, baada ya muda wake kuisha, Samia ataenda wapi?

    Maana kama ataendelea kuishi Zanzibar I'm 100% atakua targeted. Samia kwa maumivu aliyowasababishia watanganyika hata kama atakua ametoka Madarakan watakua bado wanamsaka.
  18. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maganya: Tukilivuruga Tiafa, Nchi ikawa haitawaliki, tuatenda wapi?

    Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi CCM imetoa tamko leo Disemba 5, 2025 jijini Arusha, ikiwataka Watanzania kuacha vitendo vya vurugu na uharibifu wa mali za umma na binafsi, ikisisitiza kuwa njia hiyo siyo suluhisho la changamoto za Taifa. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mwenyekiti...
  19. aise

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti msaatafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yuko wapi?

    Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi? Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini? Carlos The Jackal
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Askofu Zachary Kakobe yuko wapi?

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake za kiroho kama Mtumishi wa neno la Mungu. Lakini si hivyo tu, Bishop Kakobe ni mmoja wa watu wenye...
Back
Top Bottom