wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu nimesota kweli, nataka nianze kuuza miwa ya kukata kwenye vifuko

    Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote. Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
  2. JamiiForums Tanzania Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA : Naombeni Link ya Poweramp Premium Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada wa hiyo app kama kuna mtu mwenye link ya Poweramp Premium. Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thank you. Chief-Mkwawa.
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni link ya 2022 Pepsi Super Bowl LVI halftime full show wakuu. Thanks

    Heshima kwenu wakuu. Kuna show moja kali sana ikijumuisha Mary J. Blige, Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar et al. Naomba kama kuna mtu ana link ya full show anisaidie nitazame unyama wa hawa jamaa aisee. Najua JF ni kisiwa kikubwa kilichosheni wadau wa kila aina, hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Tu-enjoy kidogo wakuu

    Madogo wameua kinyama asee.
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge na Viongozi wanatuhumu wakurugenzi na wakuu wa Idara mara kwa mara!

    #Kaziiendelee Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara. Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya tatizo kwa maana ya kuwachongea wakuu wa Idara ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa interest...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  9. JamiiForums Tanzania Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani haiwezi, soon atapambana kuwabadilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi waliopo aweke anaoweza kuwadhibiti

    Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani. Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
  11. JamiiForums Tanzania Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

    Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni kina Nani makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu walioteuliwa leo 08/01/2022 Kama kweli uteuzi huu umefanyika maana sijabahatika kuwaona

    Kichwa Cha habari chahusika
  13. JamiiForums Tanzania Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all. Hao nao hawana budi kuondoka naeee. Haki tena. Mwenye ile video aweke.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Rumion 2008 vs 2010; nichukue ipi wakuu?

    Habari ya wakati huu wakuu. Mwenzenu nimeamua kuchukua Rumion ila sasa nimekuta kuna toleo la 2007-2008 na toleo la 2010-2015. Haya matoleo mawili nimeona yana tofauti ndogo za muonekano; show ya mbele, ndani kwenye dashboard hasa sehemu ya AC na ndani kwa nyuma. Sijui kuhusu uimara...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi unaeza teuliwa bila kuwa chamani, bika kuambiwa? Naomba kujifunza wakuu!

    Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
  16. JamiiForums Tanzania Nimepoteza dongle ya mouse yangu wakuu, nifanyeje!!

    Nimepoteza antenna (dongle) ya wireless mouse yangu. Bila hii dongle, siwezi kutumia mouse wala external keyboard yangu... Kazi hazifanyiki kabisa, maana internal keyboard ya laptop baadhi ya button zinazingua. Naweza nikapata replacement yake kweli? Ama 2.4 GHz frequency bands...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

    Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hodi humu Wakuu

    Ilikuwa ni Ndoto yangu kubwa Kuungana nanyi hivi na leo imekuwa Kweli. Ahsanteni nyote.
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania tunaathirika na udhaifu wa fikra (Inferiority Complex) wa viongozi wetu wakuu

    Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya kuapishwa hotuba yake rasmi kama Rais alitamka kwa msisitizo kuwa yeye ni Rais mwanamke! Hali...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

    Misoprostol tablets!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…