Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

m-yala

Member
May 13, 2014
57
54
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
 
Mkuu mbona kwa mwenye ujuzi wa sales hapa bongo maisha mepesi sana mana bidhaa za kuuza kwa commission kibao.

Kama upo serious unaweza sales nipm tufanye biashara na pia kuna wanaotafuta wauzaji wa bidhaa kwa commossion wengi tu bahati mbaya wanaoomba kazi wanakuwa sio wajuvi kivile wa sales.
 
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
Install app ya ajira yetu, kazi kibao za sales na data entry zimetoka saivi makampuni tofauti, try your luck, you never know..
 
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.

kampuni ya METL wanahitaji watu wa BRAND AMBASSADOR jaribu bahati yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom