wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Calvin 45

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kupata mkopo university kama ukitokea diploma kwenda degree

    Naombeni msaada wenu wakuu. Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa. Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi Fursa maliasili zitatoka Lini?

  3. H

    JamiiForums Tanzania A must read document kwa wanaume...muwe na jumapili njema wakuu

    tujitahidi tusome hii wale vijana wakiume
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kweli ukitaka huduma Wizara ya Kazi lazima uende Dodoma?

    Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma? Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali. WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuia ya Madola 2022 Rwanda

    Mkutano huu ulihudhuriwa na Mwana wa Malkia aitwae Charles pamoja na mke wake Camilla Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonhnson na mke wake
  6. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipeni maujanja

    Wasaalaam wakubwa zangu jamani nimekaa nimejiuliza hivi nyie vidume wenzangu huwa mnafanyaje fanyaje mpaka mnapostiwa na kuwekwa DP kabisa mbona mimi sijawahi au bado nafanyiwa tathmini I mean nipo kwenye majaribio, au ndio nina det na demu wa mtu. Hebu nipeni mbinu wadau nami nijione mtu...
  7. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  8. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Hii hali ni dalili ya nini wakuu??

    Inanitokea mara kadhaa nikiwa nimelala hata mchana huwa ninahisi mwili kunesanesa kwa kasi, nashindwa kufumbua mdomo na macho na kuhema wakati huo, ni wakati ambao huwa ninaomba sana kimoyomoyo kwani huwa ninaona ndio tumaini pekee lililobaki ni kama nahisi kufakufa hivi na sitamani kabisa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola kukutana Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili

    Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika Jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya Ugonjwa wa COVID-19. Mkutano huo unaofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 25 Juni 2022 umegawanywa katika makundi mbalimbali kama vile ya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakuu FDC watakiwa kubuni miradi ili kuongeza kipato

    ▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032 ▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa Na WyEST, MOROGORO Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali katika kubuni miradi itakayotumika na wanachuo...
  11. Saidi gawa

    JamiiForums Tanzania Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu

    Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu 1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia 2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

    Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo. Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake. Na tena nakazia. Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Serikali wakopesheni wakuu wa shule magari kwa lazima

    sababu zangu ni hizi hapa; 1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Napendekeza Wakuu wa Mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani badala ya teuzi kama awali

    Napendekeza wakuu wote wa mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani. Napendekeza nafasi zianze kutangazwa punde nafasi ikiwa wazi ili wenye sifa wajitokeze na wafanyiwe usaili na iwe hivyo hivyo kwa bodi. Wenye sifa ndio wafanyiwe upekuzi kufanyiwa uteuzi na kupewa mkataba wenye malengo...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilitakiwa kufa 2014, wafuatao ni Wasaliti wakuu na Mamluki waliopandikizwa

    Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema. Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya kujazia mafuta bodaboda ili wakampokee mkuu wa nchi ni kumhadaa kuwa anakubalika wakati si kweli

    Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama? Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu. Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu. Hii imetokea kila mahala. Msilete...
  18. Gama

    JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

    Always people are there to hear the negative stuffs. 😁KID
  20. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

    Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu...
Back
Top Bottom