MSAADA : Naombeni Link ya Poweramp Premium Wakuu

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,955
2,166
Heshima kwenu wakuu.

Naomba msaada wa hiyo app kama kuna mtu mwenye link ya Poweramp Premium.

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu.

Thank you.

Chief-Mkwawa.
 
Kazi yake nini?
Poweramp ni player ya kusikilizia music au kucheza music.Ina bass na sauti nzuri sana Na ndio best music player kwangu.
Screenshot_20220215-171913.jpg
 
Unaitaka iyo tu?

Mbadala vipi kama Audio jet?

Vipi ile ya free ya play it ina Mambo mengi pia kama premium?

Audio jet niliitumia, Play it ndio natumia, Poweramp niliitumia ila nahitaji kunitumia tena kiongozi wangu.

Pia nna AIMP Player na Boom Player ambazo nazitumia mara kwa mara pamoja na PlayIt.

Ila Poweramp sina na naihitaji kiongozi.
 
Fanya ulipie tu wala sio gharama kama kweli unashida ya hiyo App.

Mimi nililopia kama buku nne hivi 2016 hadi sasa nakula maisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom