wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Anuani ya Jesuit Refugee Service

    Heshima kwenu wakuu. Natumai mmeamka vyema kabisa, naomba mwenye kufahamu anuani ya Jesuit Refugee Service (JRS) anisaidie niweze kutuma barua ya maombi ya kazi wakuu. Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Bima ya Afya ya NHIF

    Nahitaji Bima ya NHIF mimi na watoto wangu wawili pamoja na Mama Mzazi. Hiyo Bima iwe nation wide (nchi nzima) Mimi sio mtumishi wa Umma Wala sekta binafsi nimejiajiri. Wakuu Jambo la Pili nahiitaji ..Kupata mchanganuo wa gharama kwa mwaka Ahsante na Mchana mwema. Muhaya original
  3. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Msingi Tandahimba awalazimisha Walimu Wakuu kuchangia mitihani ya utamilifu kwa pesa za mfukoni mwao

    Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
  4. koba lee

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Ndo kama hivyo, halafu nikiangalia maendeleo niliyonayo daah. Inabidi niwe serious na nirudi kwa muumba wangu ndo nilivyoamua hivyo, ili mwaka ujao tarehe kama ya leo panapo majaliwa niwe mahali fulani penye afadhali. Asanteni.
  5. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mifupa kwa ajili ya mifugo huwa mnaipata wapi kabla ya kusaga?

    Nina mashine so far nimeburuza mashudu na mahindi, mifupa sijui napata wapi. msaada wadau
  6. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Hii ni kumbukumbu nzuri sana kwenye Soka Letu

    Wakuu Kumbu kumbu nzr sana hii, namkumbuka Ramadhani Lenny akija home ( mtoni Kwa azizi Ali, uwanja wa sifa) kucheza ndondo akitokea mbagala kabla ya kuingia Simba. . Hakika alikuwa moto sana na miguu yake kama imechomekwa ivi😃😃 hakika tulipata burudani. Zamoyo mogella, pia huyu nae alikuwa...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Madhila ya Force Account: Mwalimu afungwa kwa kula pesa ya ujenzi

    Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake. Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi. Badala ya fedha hizo kuonekana kama mtaji wa ujenzi, watu wanageuza kuwa fedha za kula. Hili limetokea sehemu nyingi sana nchini...
  8. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Wakuu acheni michepuko

    Mwanaume sikia hii uwe mume bora Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee Mithali 31 :3 Usiwape wanawake nguvu zako : Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye bustani ya edeni. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina amani ameletwa na shetani kushindana na mungu...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Mbowe pamoja na viongozi wakuu wa CHADEMA

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile...
  10. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe . Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

    Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake. Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
  12. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Ni nini dawa ya mchwa? Wanamaliza mikaratusi yangu

    Mada tajwa hapo juu Wakuu mwenye ujuzi hapo au uzoefu wa dawa nzuri ya hawa wadudu anisaidie. Wananipa kipigo kitakatifu mno
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

    Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika. Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao. Tusilazimishe mambo...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

    Katika harakati zangu za kuuza Ubuyu GHAFLA nikaomba namba ya Dada mmoja hivi she has 24 years na Ni single Mother. Mtoto wake amemtupia Mama yake huku yeye akipanga Chumba Maeneo ya Gongo la Mboto. To be honest Ilikuwa Ni usiku nilivyomuona I was very interested with her Na ndipo nikaomba...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  16. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki Kiingereza kwenye Royal Tour kipo sawa?

    Wakuu habari zenu. Nimepita kwenye status moja ya mdada nikakutana na hiyo clip ya Royal Tour kukiwa na maongezi kati ya Rais Samia na huyo mzungu. Kuna kipande Rais Samia anamwambia huyo mzungu kuwa THIS IS BEGINNING OF BEAUTIFUL FRIENDSHIP. Nimejiuliza mara 2 kuhusu hiko Kiingereza je kipo...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza vyombo vya kupikia kwa 400k as capital inawezekana?

    I hope Wote wazima na walio wagonjwa Mungu awape Tumaini jipya wapate kupona na kurejea katika Majukumu yao Amina🙏 Tuje katika wazo Mimi Ni kijana 24Yrs naishi Dsm kwa sasa hivi nimepata wazo la kuanza kuuza Vyombo vya kupikia kwa capital ya 400k tu . Nahitaji kujua starting point Mimi...
  18. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti Serikali za Mitaa amkeni: Wakuu wa Wilaya angalieni hii inawahusu

    Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga. Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu...
  19. buffalo44

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima. Naomba kazi ya Graphic Design kama • Kudesign logo • Kudesign business cards • Kudesign presentation Yaani kiujumla any design kwa kutumia • Adobe photoshop • Adobe Illustrator Uzoefu wangu ni miaka 2, Sijafundishwa chuo nimejifunza...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

    Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi. Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension! Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje...
Back
Top Bottom