Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

Misoprostol is a synthetic prostaglandin E1 analogue that is used off-label for a variety of indications in the practice of obstetrics and gynecology, including medication abortion, medical management of miscarriage, induction of labor, cervical ripening before surgical procedures, and the treatment of postpartum hemorrhage.

Due to its wide-ranging applications in reproductive health, misoprostol is on the World Health Organization Model List of Essential Medicines.
 
This medication is used to prevent stomach ulcers while you take NSAIDs (e.g., aspirin, ibuprofen, naproxen), especially if you are at risk for developing ulcers or have a history of ulcers. Misoprostol helps to decrease your risk of serious ulcer complications such as bleeding. This medication protects your stomach lining by lowering the amount of acid that comes in contact with it.This medication is also used in combination with another drug (mifepristone) to end a pregnancy
 
Misoprostol is a synthetic prostaglandin E1 analogue that is used off-label for a variety of indications in the practice of obstetrics and gynecology, including medication abortion, medical management of miscarriage, induction of labor, cervical ripening before surgical procedures, and the treatment of postpartum hemorrhage.

Due to its wide-ranging applications in reproductive health, misoprostol is on the World Health Organization Model List of Essential Medicines.
Dogo hata ku-google tu alishindwa... Taifa la kesho lina kazi kubwa sana
 
1: Kutibu vidonda vya tumbo
2: Kupunguza damu isitoke nyingi kwenye tumbo la uzazi hasa baada ya kujifungua
3: Kuanzisha uchungu ili kusitisha ujauzito au kujifungua.
4: Kusaidia kuondoa masalia ya ujauzito/mimba kwenye mji wa mimba inapokuwa imeharibika.
bora umemsaidia maana wengi wanajua ni kutolea mimba tu.
 
Halafu unasikia tupo Uchumi wa kati na Raia kama hawa.

Hii nchi ndio maana hatuendelei sasa mtu unakutana na kitu hata kujiongeza kwenye google huko hajui

Simlaumu huyu jamaa. Tatizo ni mtaala wetu hautufundishi namna ya kutafuta taarifa au maarifa fulani

Sisi kila kitu ni kuuliza hata kama gadgets za kupata taarifa mtu anazo
 
Back
Top Bottom