wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Chuo cha Mwalimu Nyerere majibu yametoka?

    Eti Ni kweli Mwalimu Nyerere majibu yametoka?? Na Kama yametoka nimeingia kwenye account yangu ipo hivo ina maana sijachaguliwa au nisubiri subiri???
  2. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hili la kisheria hapa naombeni msaada wenu

    Mwanamke na mwanaume walianza kuishi pamoja kama mke na mume toka mwaka 2007 kama mke na mume na wakapata mtoto mmoja wakiwa kwenye Nyumba ya kupata. Ilipofika mwaka 2015 wakabahatika kujenga nyumba na wakanunua gari. Na mwaka 2016 ndio wakafunga ndoa na wakabahatika kupata mtoto mwingine wa...
  3. NDUKI

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli Unaweza Kutumia Simu Kama Projector Wakuu?

    Heshima kwenu wadau. Naomba kueleweshwa hiko kitu hapo juu je, kuna app inayoweza kutumika kwenye simu ikawa kama projector kwa kuangalia picha kwenye ukuta wakuu? Kama kuna anayefahamu naomba atuelezee ina oparate vipi kwa simu? Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
  4. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ili kuharakisha maendeleo kwanini wilaya zisipewe mamlaka zikiwa na wakuu wa wilaya wa kuchaguliwa?

    Sun Tzu aliwahi kusema, "Kuongoza jeshi kubwa hakuna tofauti na kuongoza jeshi dogo, unachotakiwa ni kuligawa jeshi lako." Kwa kawaida kitu ambacho kipo centralized sana huwa ni kazi sana kukisimamia kwa ufanisi. Urasimu na ukwamishaji huwa mwingi sana. Na hata mifano inaonyesha kuwa ni kazi...
  6. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Voda ipo vipi?

    Kuna sista angu ameitwa kwenye interview, anatokea kwenye NGOs sasa hajui structure ya mishahara ya voda ipi vipi. Mwenye uzoefu. msaada
  7. S

    JamiiForums Tanzania Polisi, Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya/Mikoa na Usalama wa Taifa kuingilia uchaguzi kwa amri toka juu ndio kinaharibu, sio Katiba

    Sina tatizo na suala la kuwa na Katiba mpya, lakini tatizo langu ni kuona watu wakidhani Katiba mpya ndio suluhisho la matatizo ya kisiasa nchini. Huko ni kupotoka. Nchi kama Marekani wana katiba ya kidemokrasia sana, lakini leo wanalia Trump na kundi lake kufanya mambo kihuni tu na kwa mabavu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kama viongoz wakuu wa nchi wanaelekeza wananchi wapigwe na kuporwa mali zao wanawezaje kutenda haki?

    Nchi za Ulaya kashfa iliyoibuliwa leo mahakamani ilitosha kumwondoa gavana na Makamu wa Rais lakini huku kwetu kashfa ile inafaa kutumika kuendelea kumweka madarakani kiongozi mwenye maelekezo magumu kama yaliyoelekezwa kwa Sabaya. Naamini Makonda pia walishindwa kumpeleka mahakamani pamoja na...
  9. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu waharaka wakuu hawa aliexpress siwaelewi kabisa, sijui ndo napigwa hivo.

    Iko hivi wadau niliweka oda alie wiki ilopita ni oda ya simu ya simu toka kwa seller MI POCO, akaship mzigo kesho yake ila cha ajabu jana tar 11 na angalia nakuta mzigo umearrive destination country country , nkajiuliza mbona fasta hivo, nkaingia parcelapp tracking nkakuta mzigo umeika origin...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kauli zenye Utata: Kassim Majaliwa ni katika Mawaziri Wakuu waliotudanganya sana nchini

    Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu. Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?. Za kwangu hizi...
  11. Planeti

    JamiiForums Tanzania Wakuu nawezaje kupata kazi ya CASINO hapa Dar

    Ndugu zangu maisha kwa kijana mimi yamekuwa changamoto. Natamani nirudishe mpira kwa kipa lakini imani inanijia kesho ni bora kuliko leo. Nisikate tamaa. Najua ni wengi tunapita katika kipindi kigumu, tupige moyo konde tusije jiingiza kwenye dili haramu tukajikuta kwny mikono salama.. Nimekaa...
  12. Mr Samba

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, nina shahada ya Human Resource

    😂😂
  13. P

    JamiiForums Tanzania Chama chochote kikipata wahamiaji, hasa kutoka CCM na kuwatanya kuwa viongozi wakuu katika chama, mavuno yake yanauma sana!

    Wasalaamu wana JF Hata majumbani mwetu kuna miiko, hauwezi kupata mgeni na siku hiyohiyo unamkaribisha mpaka chumbani, Kuna matazamio na utaratibu maalum. Kitendo cha Chandema kupata wahamaji kutoka CCM na siku hiyo hiyo kufanywa kuwa viongozi wa meza kuu Chandema na kuruhusu kufahamu mipango...
  14. Triple G

    JamiiForums Tanzania Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua aina yake?

    Wakuu Salama! Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua ni ya aina gani?
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la mwenzetu kuchomwa moto, nini kifanyike matukio ya wivu wa mapenzi yasijirudie?

    Kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu. Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho. Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni
  16. ngotho

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hizi hatua wakati wa kuapply mkopo

    wakuu salute kwenu, Jamani katika harakati za kuaply mkopo.. ukiangalia hiyo attachment hapo chini .. naombeni kujua kuhusu hizi hatua 1. tertiary education 2. guarantor. halafu wakuu naombeni kujua.. mimi ndo nimemaliz form six.. Bado sina kitambulisho cha taifa.. vilevile sina kadi ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  18. Acehood

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu laptop yangu (DELL) imegomea hapo toka juzi

  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

    Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi...
Back
Top Bottom