Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani.
Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi wakuu wa vyombo waliopo au wapangiwe KAZI nyingine then apendekeze watu wake.
Kwa ufupi Masauni ana ujana mwingi, dharau na ukubwa mwingi, tathimini hii nafanya wa kuangalia historia yake kwenye TV. Siamini kama ipo tofauti kati ya Masauni na Kangi Lugola.
Wizara Hii wizara Ina madili mengi na haikupaswa kumweka mtu asiyefanya analysis before decion ataumiza watu. Otherwise Mhe. Masauni kachape kazi usipambane kuondoa watu ofisini maana ujui utakutana nao Wapi.