CCM ina udhaifu wa kupata viongozi wakuu wa nchi, Sasa nchi imeuzwa!

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,240
2,866
Hadithi mitaani ni kwamba kumbe hata Ngorongoro ilikuwa ni dili la mwarabu! Misitu MWarabu! kila kitu sasa ni mwarabu. Ni maamuzi ya rais Samia. Tuliamini ni rais mwema, CCM iliamini ina kiongozi wa Tz.

Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa mtindo tofauti lakini wengine wanaeleza alishikwa mkono na waliomtaka. Ukweli ni kwamba siyo mzoefu ktk siasa za CCM. Alikaribishwa na waliomuhitaji kwa matumizi yao. Na amekuwa rais kwa bahati mbaya iliyolipata Taifa. Huyu ni mzoefu kwa NGO siyo kuongoza nchi.

Nyuma yake alikuwa Magufuli, aliyekuwa waziri mpendwa na kila rais wake. Ikaja uchaguzi, vurugu ndani ya chama na rushwa za kutosha zikamfanya JPM kuonekana ni muafaka wa uongozi. Waziri mzuri ikaonekana anafaa kuongoza serikali na nchi. alichokifanya ktk uongozi kila mtu anasema yake. Ukweli ni kwamba alikuwa waziri mzuri.

Alikuwepo Kikwete, Mtagulizi wake hakumtaka kwa tabia yake ya uongozi dhaifu na kuwinda kujionesha tu. Lakini kundi lake likawa kubwa, likambeba likawazidi nguvu na akawa rais, ikiwa ishara kwamba ndani ya CCM kulikuwa na wahuni wengi. Kilichofuata ni serikali ya wizi na makundi na kila rafiki kuwa na kiburi cha mtandao. Bahati mbaya hakuwahi hata kuwa waziri mzuri, lakini CCM ikaruhusu awe rais. Hakuna la maana alilolifanya zaidi ya kufurahisha marafiki na wezi, hadi leo wanamsifu.

Kwa hali ilivyo kwa sasa, tunastahili kujiuliza ilikuwaje Samia akaaminika kiasi hicho hadi kupewa kuogoza nchi pamoja na kwamba historia yake kisiasa na hata maisha binafsi siyo safi? Ni tatizo la CCM kuwa dhaifu ktk kutafuta mtu anayeweza kuongoza nchi. Rais ambaye anaona kuwa karibu na waarabu inampa raha! Anajivunia kuwa mwarabu angalau kwa uongo tu! Niliiona hii niliposikia habari za mjoba yuko Oman.
 
To be frank mfumo wa kupata viongozi Kila area katika nchi hii ni mbovu. Huku kwenye mashirika ya umma ndiyo kabisa...In general kama taifa tunatakiwa kuanza upya. Zamani universities zilikuwa zinaongozwa kitaaluma siku hizi nazo zimegeuka kama departments za serikali, hakuna seniority tena, gender imegeuzwa kuwa rushwa ama ya ngono au Kwa hao viongozi kuwatumia hao wadhaifu kama sehemu ya ku oppress na kuwa sideline wanaume wenzao wanaowaona ni threat katika personal interests zao.

Kusema ukweli kama nchi we are at a very bad state and in a very wrong direction.

Ili kumaliza yote haya tuanze upya tu kwakuandika Katiba mpya.
 
Mjenge shule za kuwanoa viongozi maana wote majizi msilaumu individuals ni mfumo mbovu tangu mnazaliwa

Mnaenda shule darasa la kwanza unaiba pencil unategemea uwe malaika?
 
Wapi Nyerere,Mkapa na Mwinyi?,au hawakuwa Marais wa Tanzania?
 
To be frank mfumo wa kupata viongozi Kila area katika nchi hii ni mbovu. Huku kwenye mashirika ya umma ndiyo kabisa...In general kama taifa tunatakiwa kuanza upya. Zamani universities zilikuwa zinaongozwa kitaaluma siku hizi nazo zimegeuka kama departments za serikali, hakuna seniority tena, gender imegeuzwa kuwa rushwa ama ya ngono au Kwa hao viongozi kuwatumia hao wadhaifu kama sehemu ya ku oppress na kuwa sideline wanaume wenzao wanaowaona ni threat katika personal interests zao.

Kusema ukweli kama nchi we are at a very bad state and in a very wrong direction.

Ili kumaliza yote haya tuanze upya tu kwakuandika Katiba mpya.
Tuna mifumo ya hovyo sn
 
Hadithi mitaani ni kwamba kumbe hata Ngorongoro ilikuwa ni dili la mwarabu! Misitu MWarabu! kila kitu sasa ni mwarabu. Ni maamuzi ya rais Samia. Tuliamini ni rais mwema, CCM iliamini ina kiongozi wa Tz.

Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa mtindo tofauti lakini wengine wanaeleza alishikwa mkono na waliomtaka. Ukweli ni kwamba siyo mzoefu ktk siasa za CCM. Alikaribishwa na waliomuhitaji kwa matumizi yao. Na amekuwa rais kwa bahati mbaya iliyolipata Taifa. Huyu ni mzoefu kwa NGO siyo kuongoza nchi.

Nyuma yake alikuwa Magufuli, aliyekuwa waziri mpendwa na kila rais wake. Ikaja uchaguzi, vurugu ndani ya chama na rushwa za kutosha zikamfanya JPM kuonekana ni muafaka wa uongozi. Waziri mzuri ikaonekana anafaa kuongoza serikali na nchi. alichokifanya ktk uongozi kila mtu anasema yake. Ukweli ni kwamba alikuwa waziri mzuri.

Alikuwepo Kikwete, Mtagulizi wake hakumtaka kwa tabia yake ya uongozi dhaifu na kuwinda kujionesha tu. Lakini kundi lake likawa kubwa, likambeba likawazidi nguvu na akawa rais, ikiwa ishara kwamba ndani ya CCM kulikuwa na wahuni wengi. Kilichofuata ni serikali ya wizi na makundi na kila rafiki kuwa na kiburi cha mtandao. Bahati mbaya hakuwahi hata kuwa waziri mzuri, lakini CCM ikaruhusu awe rais. Hakuna la maana alilolifanya zaidi ya kufurahisha marafiki na wezi, hadi leo wanamsifu.

Kwa hali ilivyo kwa sasa, tunastahili kujiuliza ilikuwaje Samia akaaminika kiasi hicho hadi kupewa kuogoza nchi pamoja na kwamba historia yake kisiasa na hata maisha binafsi siyo safi? Ni tatizo la CCM kuwa dhaifu ktk kutafuta mtu anayeweza kuongoza nchi. Rais ambaye anaona kuwa karibu na waarabu inampa raha! Anajivunia kuwa mwarabu angalau kwa uongo tu! Niliiona hii niliposikia habari za mjoba yuko Oman.
Wapo kwenye mkwamo wa kisiasa ulioanza toka 2005.
 
Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa mtindo tofauti lakini wengine wanaeleza alishikwa mkono na waliomtaka.
Ka ufafanuzi kidogo p'se!
 
Inasikitisha suala la bandari limekuwa la kidini, eti kila mvaa kobazi anaunga mkono.!
 
Back
Top Bottom