Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

Je club ya simba wametumika ?

  • Total voters
    4

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,145
4,494
Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa

Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema

Leo mida ya asubuhi naingia mtandao nakutana na uzinduzi wa jezi hizo msimu mpya kutoka kwenye mlima kilimanjaro uzinduzi wa jezi hii ni tukio moja kubwa sana ambalo watanzania walikuwa wanalisubiri kwa hamu kubwa lakini jambo la kushangaza tunasubiri jezi za timu zinakuja kutambulisha majina ya viongozi jambo ambalo limenikera naamini na watu wengine watakuwa wamekereka na jambo hili

Kulikuwa na haja gani kutambulisha majina ya viongozi nazani pengine ingependeza hata mngetambulisha hata majina ya wachezaji wakongwe waliwahi kuwa
msaada wa timu ya simba

Picha ikwapi we fala
 
Nenda kashitaki FIFA
 
Kama ni shabiki wa Simba hama timu kama sio pita hivi.
Kulikuwa na haja gani simba kujihusisha na hao viongozi nini wanapata simba mtu kama tulia siku za hivi karibuni tumemuona kwenye majukwaa anatukana wazee waliolitumikia taifa hili
kuwa ni "wapumbavu" pamoja na hili kiongozi jina lake linatumika kwenye uzinduzi wa jezi hii haya ni makosa makubwa
 
Hama timu,timu zipo nyingi Duniani yanini kujipa mataabiko ndugu yangu na unalotaka aliwezi kua!
 
Yanga ilipozindua ilimpelekea Rais ikampa iliandikwa jina vip uliongea haya unayoongea? Hakuna kiongozi wa kisiasa aliyepewa. Amepewa Rais na Makamu wake na wote waliopewa wamepewa kwa nyadhifa zao za kiserikali na sio chama. Ndio maana baadhi ya waliopewa kama Tulia anajulikana ni Yanga lkn kapewa kwa nafasi yake
 
Nenda kainunue Ruvu shooting inauzwa halafu ulete Sheria na masharti yako
 
Wamechukua jezi wameandika majina ya Viongozi Kisha wakazipandisha Kilimanjaro baadae wakazipiga mnada,
Hivi kweli walishindwa hata kuandika jina la kipa la kibrazil, kwani hawana mchezaji ambaye jina lake linauza?

Hata kibonge mikison
 
Mbona ulichokiandika hakieleweki.
Hoja YAKO ni Nini HASA?????

Mbona mnaidhalilisha JF kwa kuandika Pumba
MNAJAZA seva Bure.

Mtu verified kabisa Baada ya kuandika mambo ya Muhimu, issue Constructive inapiga MAUMBEA UMBEA.

Aibu yako.
 
Back
Top Bottom