Kwanini mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ufadhiliwe na Benki ya dunia?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.

Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?

Are we serious?
 
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika tz umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.

Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?

Are we serious?
AU bado ni ombaomba tu, Isitoshe wanachama wake wapo dhoofu kiuchumi
 
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.

Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?

Are we serious?
Ni aibu kubwa. Halafu mjadala wenyewe sasa kila mmoja anasimulia tu anavyotoa Elimu kwa watoto wa kike. It was too low for the heads of states
 
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.

Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?

Are we serious?
Sidhani kama Kagame aliweza hata kuhudhuria tu
 
Ni hujuma ili viongozi wengi wa Afrika wasiende kukutana na Putin Urusi
 
Of the total budget, 38% is to be assessed on Member States while 61% will be from partners. The operating budget will be fully funded by Member States while the programme budget will be funded 41% by Member States and 59% solicited from international partners.

Sasa hiyo 61% karibu 80% yake anatoa Marekani. Bajeti ya AU zaidi ya 61% wanatoa wafadhili kina World Bank na IMF na Marekani.

Nadhani sasa unaelewa.
 
.. aibu kubwa. Halafu mjadala wenyewe sasa kila mmoja anasimulia tu anavyotoa Elimu kwa watoto wa kike. It was too low for the heads of states
Kaka lengo ni kuwafanya viongozi wa Afrika wakose nafasi ya kuhudhuria safari ya kwenda Moscow
Hv urusi ndio takataka gani mbele ya mabeberu?
Huo ndio ukweli wenyewe, 100%. Viongozi wetu ni wajinga kiasi hiki?
Sidhani kama Kagame aliweza hata kuhudhuria tu
Viongozi makini kama Museven hawezi kuhudhuria mkutano ambao anajuwa umefadhiliwa na mashoga.
 
Of the total budget, 38% is to be assessed on Member States while 61% will be from partners. The operating budget will be fully funded by Member States while the programme budget will be funded 41% by Member States and 59% solicited from international partners.

Sasa hiyo 61% karibu 80% yake anatoa Marekani. Bajeti ya AU zaidi ya 61% wanatoa wafadhili kina World Bank na IMF na Marekani.

Nadhani sasa unaelewa.
Afrika jamani!!!
 
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.

Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?

Are we serious?
Tuanzie kwa MTU mmoja mmoja, wengi wetu tunapenda short cut kwenye Mambo ya msingi, kijana anatoka chuo Leo, anatska kesho, apate ajira TRA, anunue gari,amiriki mjengo, na demu mkari ndani ya mwaka mmoja! Tunapenda vitu vikubwa bila kutoa jasho,
Sasa hata serikali zetu ni hivyo hivyo, wakiona mzungu analeta mipesa yake kudhamini mkutano,wanaona poa tu, Bora zije zitumike za wazungu, haina haja ya kuumiza vichwa Ku tafuta za, k wetu, Bora za kupewa kiu raini, ili za kwetu tuzitumbue tu,
Kwa, kupenda vya dezo,ndio maana agenda zetu zote zinapangwa ulaya, tutazungumza saaana lakini tukija kwenye utekelezaji, tutafanya wanachoamua mabwana zetu waliotoa mkwanja,
 
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.

Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?

Are we serious?
Mkuu Africa bdo tupo chini ya mabeberu tusidanganyane kwamba AU, SADC,EAC, na jumuiya nyingnezo Za kiafrika kwmb znajiendesha zenyewe, waafrika we have never been free
 
Kaka lengo ni kuwafanya viongozi wa Afrika wakose nafasi ya kuhudhuria safari ya kwenda Moscow

Huo ndio ukweli wenyewe, 100%. Viongozi wetu ni wajinga kiasi hiki?

Viongozi makini kama Museven hawezi kuhudhuria mkutano ambao anajuwa umefadhiliwa na mashoga.
Acha uchizi hivi wewe, Mseveni ndiye kiongozi makini kwako umakini wake uko kwenye nini wakati ni dikteta aliyekatalia madarakani, ujitambui hakuna rais makini au kiongozi makini Afrika wote ni wajinga tu
 
Ni hujuma ili viongozi wengi wa Afrika wasiende kukutana na Putin Urusi
hiyo ndio sababu kubwa ila viongozi wenye akili wameenda Urusi kwani tofauti ya mkutano wa Urusi na huu uliofadhiliwa na benki ya dunia, wa Urusi unapenda kuzungumzia changamoto za uchumi wa Afrika na na na ya kuzitatua lakini huu wa benki ya Dunia unafanya waafrika waamini bila misaada na mikopo ya benki ya Dunia hawawezi kujitegemea
 
Acha uchizi hivi wewe, Mseveni ndiye kiongozi makini kwako umakini wake uko kwenye nini wakati ni dikteta aliyekatalia madarakani, ujitambui hakuna rais makini au kiongozi makini Afrika wote ni wajinga tu
Museven amekatalia madarakani na CCM imekatalia madarakani, tofauti Iko wapi hapo? Akili zenyewe huna unajisemea TU. Lakini pia niambie Kuna tofauti kiuchumi, kidemokrasia, kimichezo, kielimu, kiafya, na kiviwanda kati ya Uganda ambako Museven amekatalia madarakani na Tanzania ambako tunaobadilisha Marais? Akili zenyewe unaungaunga.
 
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.

Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?

Are we serious?
Wataweza vipi nao ni wanafiki? Nilipoona hadi wale wanaojiita wanamajumui wa kiafrica wanamkana Gadafi nikajisemea "lama sabachtan", yale maono aliyokuwa amayabeba Gadafi alikufa nayo pale katika ardhi ya kwao hawa wengine ni wahuni tu
 
Back
Top Bottom