Nigeria: Rais Tinubu awafuta kazi viongozi Wakuu wa Taasisi za Usalama

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Waziri wa ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Washauri wao pamoja Kamishna Mkuu wa Forodha wamestaafishwa kwa lazima na Rais Bola Tinubu na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya

Kwa muda mrefu Nigeria imekabiliana na wimbi la mashambulizi yanayosababishwa na makundi ya Jihadi na Magenge ya Uhalifu, watekaji nyara

Kumekuwa na wito endelevu kutoka katika makundi ya Kiraia wakati wa Utawala wa Buhari, kwa viongozi wa usalama kubadilishwa kutokana na kutokuwa na uwezo wao wa kukabiliana na changamoto hizo

**********

The changes are surprising coming just three weeks after Bola Tinubu took officeImage caption: The changes are surprising coming just three weeks after Bola Tinubu took office

Nigeria's President Bola Ahmed Tinubu on Monday forced out the country's security chiefs and the head of police in sweeping changes.

The defence chief, head of the army, navy and the air force were all retired and replaced with new officers.

An official statement said Mr Tinubu had "approved the immediate retirement of all service chiefs and the inspector-general of police, advisers, comptroller-general of customs from service … with immediate effect".

Mr Tinubu has also dissolved the boards of all federal government institutions - but excluding some such as the judicial council, the electoral body and the police service commission.

The security changes come two weeks after he met security chiefs and ordered them to work jointly to tackle the challenges of terrorism, insurgency, banditry, oil theft and piracy.

Nigeria has been grappling with a rising wave of attacks blamed on jihadist groups and other criminal gangs, including bandits who mainly engage in kidnapping for ransom.

There were persistent calls by civil society groups during the last government for the security chiefs to be changed because of their inability to tackle the situation.

Source: BBC
 
Kazi za serikali hazina cha bika mimi mambo hayata kwenda. Ukifa leo wenzio wanakalia kiti chako. Ukifuluzwa leo kazi kesho mtu amesha kava mafasi yako.

Ukitaka kuamini hili ni kuwa Mwana chato alifariki na bado shughuli za serikali hazikusimama. So usijipe umuhimu mkuuuubwa ukadhani bila wewe hakuna mwingine
 
Mwanachato alifariki ila hadi muda huu bado unamtaja mkuu,hadi muda huu bado miradi yake inaendelezwa kwa pesa alizoziacha zikafujwa kwa kasi ila wamezirudisha kwa mikopo. Mwanachato kila uzinduzi wa mradi lazima atajwe

Kutajwa si dhambi. Hitler nduli id castro guevara luther malcom hao wote huwa wanatajwa tunapohitaji kupata mifano
 
Waziri wa ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Washauri wao pamoja Kamishna Mkuu wa Forodha wamestaafishwa kwa lazima na Rais Bola Tinubu na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya

Kwa muda mrefu Nigeria imekabiliana na wimbi la mashambulizi yanayosababishwa na makundi ya Jihadi na Magenge ya Uhalifu, watekaji nyara

Kumekuwa na wito endelevu kutoka katika makundi ya Kiraia wakati wa Utawala wa Buhari, kwa viongozi wa usalama kubadilishwa kutokana na kutokuwa na uwezo wao wa kukabiliana na changamoto hizo

**********

The changes are surprising coming just three weeks after Bola Tinubu took officeImage caption: The changes are surprising coming just three weeks after Bola Tinubu took office

Nigeria's President Bola Ahmed Tinubu on Monday forced out the country's security chiefs and the head of police in sweeping changes.

The defence chief, head of the army, navy and the air force were all retired and replaced with new officers.

An official statement said Mr Tinubu had "approved the immediate retirement of all service chiefs and the inspector-general of police, advisers, comptroller-general of customs from service … with immediate effect".

Mr Tinubu has also dissolved the boards of all federal government institutions - but excluding some such as the judicial council, the electoral body and the police service commission.

The security changes come two weeks after he met security chiefs and ordered them to work jointly to tackle the challenges of terrorism, insurgency, banditry, oil theft and piracy.

Nigeria has been grappling with a rising wave of attacks blamed on jihadist groups and other criminal gangs, including bandits who mainly engage in kidnapping for ransom.

There were persistent calls by civil society groups during the last government for the security chiefs to be changed because of their inability to tackle the situation.

Source: BBC
Huyu mtaalamu wa biashara ataweza kilichomshinda Jenerali Buhari ?
T14 Armata
 
Kazi za serikali hazina cha bika mimi mambo hayata kwenda. Ukifa leo wenzio wanakalia kiti chako. Ukifuluzwa leo kazi kesho mtu amesha kava mafasi yako.

Ukitaka kuamini hili ni kuwa Mwana chato alifariki na bado shughuli za serikali hazikusimama. So usijipe umuhimu mkuuuubwa ukadhani bila wewe hakuna mwingine

Hili ni somo ambali wengi huwa hawalielewi
 
Huyu mtaalamu wa biashara ataweza kilichomshinda Jenerali Buhari ?
T14 Armata
Nigeria inaongozwa na genge na wanasiasa wake wanatumia kadi ya udini na ukabila.
Kupambana na ugaidi pale Nigeria kunahitaji utashi wa kisiasa, sio uwezo wa Rais. Ni kitendo cha kuamua na kuwezesha mapambano ya ugaidi. Bajeti ndogo sana inahitajika na Nigeria ina uwezo nayo, wanajeshi wanaojua wapo na wataalamu wapo ila kuna agenda zinalazimisha mambo.

Buhari alifanya hivyo mwishoni, mwanzoni alikuwa anawalea sana. Tinubu usijeshangaa atawalea ila akikaribia kuondoka ndipo aanze kuwashambulia. Ila Good luck Jonathan ndio alikuwa kiazi kwelikweli, ukiona makamu wa Rais yeyote Afrika hii kawa Rais ujue hamna kitu hapo usitarajie chochote. Waafrika uchagua average person ndio awe makamu wao asijewazidi utendaji na kukubalika.

Buhari kafanya procurement kubwa ya silaha na nyingine deriveries zinaendelea. Na amefanya mashambulizi sana hasa misitu ya Sambisa ambalo ndio chimbo la magaidi, ila namlaumu kuchelewa. Tinubu akiamua kuleta agenda zake na kuzembea kupambana nao atakuwa criticized kirahisi.
 
Tinubu tulimdharau lakini anapiga nyundo za hatari wanasema alipokua Gavana alifanya mageuzi makubwa sana anaweza kuwa Magufuli wao...
 
RAIS wa Nigeria Bola Tinubu, amewafuta kazi wakuu wa usalama wa nchi hiyo, wakuu wa polisi akiwemo Mkuu wa Ulinzi, Mkuu wa Jeshi, Jeshi la Wanamaji na Jeshi la Wanahewa na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya.

Taarifa rasmi zinaeleza kuwa Tinubu ameidhinisha kustaafu mara moja kwa wakuu wote wa huduma na Inspekta Jenerali wa Polisi, washauri, Mdhibiti Mkuu wa Forodha kuacha majukumu na mabadiliko hayo kutekelezwa mara moja.

Aidha, Tinubu amevunja bodi za taasisi zote za serikali, lakini bila kujumuisha zingine zikiwemo Baraza la Mahakama, baraza la uchaguzi na tume ya huduma ya polisi.

Mabadiliko hayo ya usalama yamejiri wiki mbili baada ya Rais Tinubu kukutana na wakuu wa usalama na kuwaamuru kufanya kazi kwa pamoja ili kukabiliana na changamoto za ugaidi, uasi, ujambazi, wizi wa mafuta na uharamia.
 
Rais ameezeka lakini anauthubutu labda kwa kuwa ameshaishi miaka kibao na Hana Cha kupoteza
 
Tinubu ni mtu wa kawaida sana, alivyokuwa Gavana alikula rushwa na ubadhirifu kama magavana wengine. Hana maajabu wala hana utofauti, ni average man

Back
Top Bottom