Uko tayali kujitolea kufundisha kwa siku posho 6000Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.
kwa ndani ya arusha pekee?Uko tayali kujitolea kufundisha kwa siku posho 6000
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Dar hamna sehemu ya kujitolea kwa mtindo huo mkuu. Kuna kijana yupo idle hapa.Yeah sana sana Arusha
kAMA UNAWEZA FUNDISHA eNGLISHI NA ENTERPRENUARSHIP TUWASILIANE 0717157640Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.