Naomba Ushauri: Nimepata Kesi baada ya kumpiga mvuta sigara

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,742
17,991
wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.

Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi mdomoni hadi akatema hiyo Sigara.

Sasa hivi nasubiri nije nichukuliwe maana nasikia ameenda Polisi. Ni mzee wa makomo na ameapa atanifunga. Kama Kuna kifungu chochote cha sheria kinachokataza matumizi ya tumbaku hadharani naombeni ili nijiandae kwa lolote
 
wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.
Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi mdomoni hadi akatema hiyo Sigara.

Sasaiv nasubiri nije nichukuliwe maana nasikia ameenda Polisi. Ni mzee wa makomo na ameapa atanifunga. Kama Kuna kifungu chechote Cha sheria kinachokataza matumizi ya tumbaku hadharani naombeni ili nijiandae kwa lolote
Umejichukulia Sheria mkononi Wacha akufunge!
 
Angevuta bangi ungemfanyaje ??.

Kwanza siamini kama kuna mtu ambaye hana uwezo wa kuzuia hisia zake kiasi cha kutumia violence kwa issue ndogo kama hiyo
Mimi huwa Ni mwepesi kurusha ngumi au kofi
 
wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.
Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi mdomoni hadi akatema hiyo Sigara.

Sasaiv nasubiri nije nichukuliwe maana nasikia ameenda Polisi. Ni mzee wa makomo na ameapa atanifunga. Kama Kuna kifungu chechote Cha sheria kinachokataza matumizi ya tumbaku hadharani naombeni ili nijiandae kwa lolote
Hongera mkuu kwa kuifunza adabu hiyo taka taka. Ipo sheria inayokataza kuvuta sigara kwenye umma Adhabu yake nadhani ni Mil 2 au kifungo miezi sita kesho nitaiweka hapa jamvini.
 
Weka sasaiv mkuu. Utakuwa umenisaidia sana
 
Haijalishi utajitetea vipi, hapo jiandae kuliapa au kufungwa. Umechukua sheria mkononi na kumshambulia mwenzako, ni kosa la jinai.

Wakiamua kukukomalia happ utaletewa mpaka taarifa za daktari jinsi ulivyo msababishia madhara ya kimwili na kiakili kwa kumshambulia. Andaa pesa za huyo mzee n polisi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom