Wakuu naomba msaada kwa wanaojua fukwe nzuri zinazopatikana ukanda wa kunduchi kuwe na misosi na vinywaji ila ziwe ni za free.
Weekend yangu leo nataka nikaimalizie huko. Maskani hakukaliki tanesco washafanya yao. Ahsanteni
Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana...
Naibu Waziri Kigahe Awataka Wakuu wa Mikoa Kufanya Maonesho ya Utalii
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amewataka Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania kuhakikisha wanafanya Maonesho ya Utalii ili kukuza utalii na kuongeza mapato ya nchi kwa kuwa sekta hiyo inachangia kwa...
Kama muvi vile, jamaa wamelipuliwa kizembe sana
Ukraine’s Defence Forces targeted the temporary command post of the Russians in Kherson Oblast, following a tip-off from the Security Service of Ukraine.
Source: Ukrainska Pravda source in the Security Service of Ukraine (SSU)
Details: The video...
Habari zenu wakuu,
Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi.
Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato.
Nina umri wa miaka 27, nina elimu ya Diploma ya Information Technology ila sijabahatika kupata hata kazi ya kujitolea (mimi ni kati ya...
Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu.
"Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar.
Taarifa zinaonyesha kwamba...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi.
Homera amefikia uamuzi huo jana...
......
.........
............
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...??
Akanijibu kwamba hawezi akawa na...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST.
Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu...
Wakuu naomba kuuliza anaefahamu fika hili shirika/taasisi ya British contact limited lipo sinza. Je, linajihusisha na nini haswa? Na je mishahara kwao ni uhakika?
WADAIWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA DAISY GENERAL TRADERS KUKWAPUA MABILIONI FEDHA TOKA BANK KUU (BoT)
4/9/2023: 21:30 HRS Western Indiana.
Taarifa za ndani zinatujuza kama ifuatavyo.
Genge la walafi na wakwapuaji Fedha za walipa kodi likiongozwa na Angela Kiziga, Abdluhalim Hafidh Ameir na...
Habari wadau,
Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo).
Naomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,pia na vivutio vya...
Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.
Habari Wana bodi natumia wote ni wazima wa afya.
Wakuu Ilikuwa kama mwezi mmoja nyuma nilianza kupata maumivu chini ya mbavu upande wa kulia, hali hiyo ili endelea ndani ya wiki mbili, baada ya hapo yaka potea.
Cha ajabu Toka siku ya juzi maumivu Yale yameanza upya, pamoja na homa.
Leo...
Samahanini wakuu kwa usumbufu.
Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok.
Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani?
Hivi taifa litakuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.