Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu

Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.

Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
 
Tafuta watu wengine wa kutapeli, hadi umeipata hiyo 200mil. means wewe sio mtu wa kuuliza maswali ya aina hii mitandaoni.., ungekuwa na jopo la consultants binafsi
 
Njoo tuuze mavi kaka

Kiloo ni 1000 unanunua unauza 15,000 huku Nungwi peponi

Karibu sana stendi ya mbezi nimejenga na hela zangu nikaipa jina la Magu 🙏😁
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu

Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.

Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
Mkuu unikumbuke kwenye kibarua

0694934864
 
0659756647
Karibu tufanye kazi
Mezani tuweke 50m mpaka 100m tu nkuonyeshe maajabu i hope within 6 month unafngua yard ya magar used
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu

Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.

Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
Mkuu ungeniambia tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi wako wa kuzaliwa ningekwambia ufanye biasara gani ambayo itakayo weza kukutajirisha. Ukitaka nifuate PM.
 
Mleta mada biashara zote hufungwa mahesabu mwisho wa mwaka matarajio Yako mwisho wa mwaka unatarajia faida shilingi ngapi baada ya kutoa gharama zote ? Ili nijaribu kukushauri live hapa hapa sio inbox
 
Usiuze magari vunja magari? Sababu mil200 haitoshi kuuza magari..lakini inatosha kuuza gari zinazopigwa mnada za kutoka sauzi njoo pm mimi ni mzoefu wa gari za Auction( damaged/savaged) kutoka SA, matengenezo kidogo unakuja kupiga hela bongo..lakini kama sio mzoefu utapoteza njoo dm.
 
Back
Top Bottom