wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

    "Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai. #UzinduziKampeniCCM...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hivi hitaji kuu la wakazi wa Mbagala ni kurudishwa majina ya Wabunge waliokatwa na Tume?

    Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa na Tume. Je, hilo ndilo hitaji la watu wa Mbagala?
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yawataja wabunge 18 waliopita bila kupingwa. Wamo Nape, Kigwangala, January, Kabudi, Mnyeti...

    1. Ushetu - Elias Kwandikwa 2. Kongwa - Job Ndugai 3. Gairo - Ahmed Shabiby 4. Kilosa - Palamagamba Kabudi 5. Mvomero - Jonas Van Zeeland 6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent 7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani 8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe 9. Kavuu - Geofrey Pinda 10. Songwe...
  4. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Oktoba 28: Usirudie makosa kuchagua Wabunge kutoka CCM. Miaka 5 ni mingi mno

    Wasalaam, Kwa kawaida binadamu hatujakamilika kwa 100% hivyo kukumbushana na kuelekezana mambo ya msingi yahusuyo mustakabali wa Maisha yetu ni muhimu. Napenda kutoa rai kwa wapiga kura kutorudia makosa ya 2015 ya kuchagua wabunge kutoka CCM kwasababu hawa hawajitambui wamepigania maslahi yao...
  5. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya EAC wamedai posho ya siku ilhali wanafanyia kazi kwao

    Wabunge wa bunge la EAC toka kenya wameonyesha ulafi wao wa fedhaa ktk bunge la EAC wakidai walipwe daily subsistance allowance ili hali wana fanyia kazi nchini kwao ..AIBU gani hii kwa wabunge walafi
  6. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima wawe Wabunge?

    Wapi waliosoma Wana shahada mbalimbali Wana uzoefu wa miaka Wana connections Wengi wamekuwa Wabunge miaka nenda Rudi...(wamezeekea bungeni) Sasa wamekatwa wanahaha...wameonewa..wanashangaa..wanahoji kwanini wao? Wengine wanaenda kufyekwa na waheshimiwa wapiga Kura... Wengine wananyenyekea...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Malipo ya wabunge yakipunguzwa, idadi yao nayo itapungua!

    I’m going to go in and keep it a buck all the way. Ni hivi, wabunge wengi sana wa bunge la Tanzania ni wachumia matumbo tu. Hawapo bungeni kuwawakilisha wananchi wa majimbo yao. Kwa sababu hiyo, mimi ningependa malipo yao yote, yaani kuanzia mshahara, posho zile kipumbavu, marupurupu, na...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

    WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, umefanyika leo Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi. Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV Up dates; Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
  13. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Hima wabunge mtakaorudi 2020 himizeni FAO la kujitoa

    Mtakubaliana na Mimi kwasasa Kuna wimbi kubwa la wafanyakazi wanaoacha kazi kutokana na maisha magumu, Miaka 6 hii itabaki kwenye kumbu umbu ya vizazi na vizazi kwa watumishi wa Umma. Hakuna asiyejua "kichapo" kwa watumishi wa Umma na kupelekea kupoteza points zote tatu kwa miaka mitano...
  14. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Lissu yuko Sawa. Kama Wabunge na Madiwani lazima wawe wakazi wa Maeneo wanayochaguliwa, kwanini Wakuu wa mikoa, Wilaya, Talafa wachaguliwe Magogoni?

    Nchi zote zilizoendelea viongozi wao wote huwa Wana toka au kuchaguliwa na watu wa Maeneo husika. Hii ni kwa kuwa wao ndiyo wanajua matatizo ya wananchi wao. Kama kweli tunataka maendeleo ni sasa ni muda muafaka wa kurekebisha Hii za a ya kikoloni ya kuchaguliwa au kupewa viongozi kwa vile tu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuongea kiingereza utumike kuwakata wabunge na madiwani

    Kwasasa Tanzania yetu ukienda kwenye interview hata Kama nafasi ya wahitimu wa darasa la saba mnachujwa kwa kufaham kiingereza inakuaje uko kwa madiwani na wabunge interview zao zinakua za kiswahili wakati ni nafasi muhimu sana.
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodi ya Mishahara Kenya yapinga Wabunge kuongezwa pensheni

    Bodi ya mishahara nchini Kenya imepinga mpango wa kuongeza pensheni kwa wabunge 375 wa zamani. Mkuu wa bodi hiyo, Lyn Mengich, amesema iwapo wabunge wataongezewa pensheni wafanyakazi wengine wa ofisi za Umma watataka mishahara yao iongezwe pia. Wiki hii wabunge nchini humo walipitisha muswada...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Wabunge wa CHADEMA waliohamia NCCR Mageuzi watoa "viinua mgongo" vyao kati ya Tsh. 40m na 50m kila mmoja kufadhili Mkutano Mkuu!

    Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka. Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe. Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha Mkutano Mkuu ufanyike. Mbatia amewataja Mhe. Selasini. Mhe. Komu, Mhe...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Kamati Kuu ya CCM hamuwezi kututeulia wagombea wapya kabisa wa Ubunge? Ziara za Rais Magufuli zilithibitisha Wabunge wengi ni mizigo

    Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
  19. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  20. mgt software

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye aongezewe nafasi 20 zaidi za teuzi za Wabunge, Bunge lijalo litajaa vihiyo wengi, tukifuata Demokrasia ya Kura za Maoni

    Baada ya vita kati ya wasomi na wajumbe kuisha, inaonekana wajumbe kushinda kete ya kuwaingiza wenzao kwenye bunge. Inaelekea wasomi hawajaleta tija kwao kutokana na kupwya kwa bunge lililopita. Kwa ufupi wa kulaumiwa ni hawa viongozi yani Ndugai na tulia walivyoshindwa kusimamia hhoja...
Back
Top Bottom