Kwasasa Tanzania yetu ukienda kwenye interview hata Kama nafasi ya wahitimu wa darasa la saba mnachujwa kwa kufaham kiingereza inakuaje uko kwa madiwani na wabunge interview zao zinakua za kiswahili wakati ni nafasi muhimu sana.
Bodi ya mishahara nchini Kenya imepinga mpango wa kuongeza pensheni kwa wabunge 375 wa zamani.
Mkuu wa bodi hiyo, Lyn Mengich, amesema iwapo wabunge wataongezewa pensheni wafanyakazi wengine wa ofisi za Umma watataka mishahara yao iongezwe pia.
Wiki hii wabunge nchini humo walipitisha muswada...
Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe. Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha Mkutano Mkuu ufanyike.
Mbatia amewataja Mhe. Selasini. Mhe. Komu, Mhe...
Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi.
Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma.
Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Baada ya vita kati ya wasomi na wajumbe kuisha, inaonekana wajumbe kushinda kete ya kuwaingiza wenzao kwenye bunge. Inaelekea wasomi hawajaleta tija kwao kutokana na kupwya kwa bunge lililopita. Kwa ufupi wa kulaumiwa ni hawa viongozi yani Ndugai na tulia walivyoshindwa kusimamia hhoja...
Mtu unatoka bungeni ukiwa umekamilika na mzigo wako wa 200m+ kibindoni halafu kwenye kura za maoni unakuwa namba 3 huo ni uzembe uliotukuka.
Hata sheria na kanuni zitakucheka.
Maendeleo hayana vyama!
Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak...
Huu utaratibu wa sasa wa kulazimisha Baraza la Mawaziri kuundwa kutokana na wabunge ni tatizo kubwa. Kwanza kuna viongozi wazuri ambao sio wanasiasa. Pili, kutoa wabunge wengi hivi Bungeni badala ya kutetea Majimbo yao wanakuwa watetezi wa Serikali. Vilevile ndiyo sababu wengi wanakimbilia...
Habari wadau
Wajumbe wa CCM wamejitahidi sana kutoangalia majina wakati wa kura za maoni
Mtu kama charles kimei ameshindwa na mtoto mdogo
Mtu kama ngereja ameshindwa na darasa la 7
Hii inaonesha watu wameanza kuamka
Maana majimbo yalikuwa kama shamba la bibi
Mtu anaishi zake Mikocheni ama...
Nchi masikini kama Tanzania ambazo zaidi ya 40% ya mapato yake ya kuendeshea serikali yanatokana na mikopo na misaada, zina idadi kubwa sana ya baraza la mawaziri pamoja na bunge.
Kuna kipindi Tanzania tuliwahi kua na baraza la Mawaziri zaidi 60.
Hoja yangu ni kwamba, kwa nini bado tunaendelea...
Waziri wa Afya wa Zambia Chitalu Chilufya amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika bunge la nchi hiyo, wabunge 15 wamekutwa na maambukizi.
Amri ya upimaji huo ilitolewa baada ya wabunge wawili kufariki dunia juma lililopita. Mmoja miongoni mwa hao aliugua ugonjwa...
Kitu ninachojiuliza Kama wabunge karibu wote wa Bunge lililopita wengi wamerudi basi bunge lijalo litakuwa halina tofauti sana na ndo maana najiuliza huenda Spika Ndugai alijua hadi akawahakikishia wabunge wa CCM kuwa wote watarudi na mwezi wa 11 Mh Kessy alete hoja yake ya kubadili katiba ya...
MCHAKATO wa kura za maoni kupata wagombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu ulimalizika jana na sasa walioongoza wanasubiri uamuzi wa vikao vya juu vya chama hicho vifanye uamuzi.
Kwenye Mkoa wa Dodoma wabunge watano waliomaliza mda wao...
Chama imara hujenga brand name ya chama siyo majina ya watu. CHADEMA huhangaika sana kujenga majina ya watu badala ya chama. Utasikia ohh Mbowe, ohh Mdee, ohh Lissu hakuna zaidi ya hao!
Sasa kuna yale maeneo wabunge wa CHADEMA waliohamia CCM kuna ombwe kubwa. Wameweka watu wa ajabu ajabu sababu...
Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo.
Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini aliyeongoza kura za maoni jimboni Bukombe.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji
CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM
Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
Wana jamii, kwa sasa tunashuhudia majimboni wagombea mbalimbali wakipambana kuwa wawakirishi wa wananchi. Ukizingatia wananchi wote hatuwezi kwenda bungeni kujadili maendeleo yetu. Hivyo ni lazima watu wachache wachaguliwe ili kuwawakilisha wananchi baada ya kufanya mikutano na wananchi hivyo...
Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuishauri Serikali.
Lakini kama mkuu wa wilaya akiongezewa kazi za kusimamia kabisa kila shughuli za maendeleo ya wilaya huku akihakikisha mgawanyo wa keki ya taifa wilayani kwake atakuwa anafanya kazi kubwa kuliko Mbunge.
Napendekeza Ili kuwapiga chenga za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.