Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii.
Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge.
Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja.
Kwa sababu hiyo, tarajieni kuona wale wale waliowadhulumu haki zenu wakigeuka wema kwenu na...
Ibara ya 3(1) ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni nchi isiyo na Dini,bali ni Nchi ya kidemokrasia ambayo inafuata misingi ya vyama vingi.
Tarehe 28 mwezi jana Watanzania walipiga kura,na walifanya maamuzi ya nani awe Mbunge, Diwani au Rais. Na matokeo yametoka na CCM imeibuka...
Nauliza tu kwa wale wabobezi wa masuala ya Haki za Binadamu kama itakuwa ni halali kwa viongozi wa CHADEMA kuwazuia Wabunge wake wa Viti Maalumu ( Wanawake) kwenda kuapishwa na kushiriki vikao vya Bunge.
Iwapo CHADEMA itakuwa imepata 5% ya kura za jumla walizopigiwa wabunge wote basi...
Binafsi naona ni sawa kabisa kwa Wabunge wa chadema kuondolewa, wengi wao wamekuwa Wabunge kwa miaka 10 au zaidi, kuanzia Halima Mdee kawa Mbunge wa Kawe kwa miaka 10, Sugu kawa Mbunge Mbeya City kwa miaka 10, Lema kawa Mbunge Arusha City miaka 10, Mbowe kawa Mbunge kwa zaidi ya miaka 15, Zito...
Kwanini upinzani umeanguka vibaya:
1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote.
2) Hakuna...
Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko.
Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo wa siasa za vyama vingi.
Kipindi hicho jamii kubwa ya watanzania haikuwa na uelewa mpana wa vyama...
Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT...
Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa.
Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana...
Habari Wana JF,
Nimesukumwa Kuweka mawazo Yangu na kukusanya muongozo wa kumbukumbu ili iwe rahisi kupima ushindi haswa kwa watakaochaguliwa kutuwakilisha Bungeni. Bunge limekuwa likilaumiwa kuwa na mapungufu mengi ambayo mara nyingi huonyesha ni sabbat ya uwingi wa Watawala kwa wakabi hue CCM...
Kifungu cha 70(1) cha Taratibu za Uchaguzi 2020 kinaeleza kuwa:- Kila Chama cha Siasa ambacho kinashiriki Uchaguzi wa Wabunge ambao utafanyika baada ya kuvunjwa kwa Bunge kitapendekeza na kupeleka kwenye Tume Majina ya wagombea stahiki Wanawake kwa ajili ya Uteuzi kama Wabunge Wanawake wa Viti...
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.
Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye...
Wabunge wa upinzani wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakisusia mara kwa mara vikao vya bunge na kutoka nje.
Hata kipindi cha korona aka COVID19 walisusa wakisingizia wanaenda kujifungia kitu hawakufanya wakaendelea kupiga misele mtaani.
Hata pale shule zilifunguliwa hawakufungia watoto wao...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha UPDP, Twalib Kadege, amesema kuwa ikiwa Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi watahakikisha vyama vyote vinapata ruzuku kipindi cha Kampeni ili waweze kuendesha shughuli za Kampeni, pasipo kujali kama Vyama hivyo vitakuwa na...
Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe...
Lissu ana mapungufu yake tena mengi tu! Vivyo hivyo kwa Magufuli. Kampeni ni kutoa ahadi za matumaini. Kwa upande wa Magufuli ana nafasi nzuri kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha utendaji wake kwa yale aliyokwishafanya. Kwa Lissu kazi ni kubwa zaidi maana uzuri wa ahadi hautoshi.
Wanasiasa wote...
Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi.
Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa.
Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe)
Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.