Hongereni sana wajumbe, zamu ya wapiga kura Oktoba msichague wabunge wanaoishi Dar, chagueni majirani zenu huko majimboni

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,841
33,599
Habari wadau

Wajumbe wa CCM wamejitahidi sana kutoangalia majina wakati wa kura za maoni

Mtu kama charles kimei ameshindwa na mtoto mdogo

Mtu kama ngereja ameshindwa na darasa la 7

Hii inaonesha watu wameanza kuamka

Maana majimbo yalikuwa kama shamba la bibi

Mtu anaishi zake Mikocheni ama Masaki ila mbunge wa Bariadi ama Mbarali. Haikuwa fair

Maana shida za wananchi hazijui

Sasa kazi imeanza.. naona mmeanza wajumbe wa ccm.. na wananchi majimboni muikamilishe..

Mgombea ubunge wa jimbo nje ya mkoa wa dar.. lakini anaishi dar msimpigie kura.. ni bora mpigie hata vyama vingine vilivyoweka jirani yenu
 
moja ya mambo yanayonishangaza sana ni pamoja na hilo. we miaka yote upo huko Dar inafika uchaguzi unaleta bichwa unataka ubunge.kwamba hii wilaya yooote hakuna mtu anayejua shida zetu mpaka tukuone wewe ndo unafaa
 
Wakata umeme ni watu makini sana mtu kama Mastar J, sterve nyerere miaka yote wapo dsm, mda wa teuzi wa wabunge wanaenda kwao wanataka nafasi.

Pongezi kwa wajumbe kwa kutenda haki
 
Wakata umeme ni watu makini sana mtu kama Mastar J, sterve nyerere miaka yote wapo dsm, mda wa teuzi wa wabunge wanaenda kwao wanataka nafasi.

Pongezi kwa wajumbe kwa kutenda haki

Wanaona watu wa majimbo ya mikoani wapuuzi
 
moja ya mambo yanayonishangaza sana ni pamoja na hilo. we miaka yote upo huko Dar inafika uchaguzi unaleta bichwa unataka ubunge.kwamba hii wilaya yooote hakuna mtu anayejua shida zetu mpaka tukuone wewe ndo unafaa

Wanaona watu wa mikoani wajinga
 
Back
Top Bottom