wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu majimboni, wagombea waanza kula kwa mama lishe ili kudanganya Wananchi

    Huyu anaitwa Bashungwa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge tuondoleeni Darasa la Saba na Kidato cha Nne Bungeni

    Kwa tathimini ya haraka Ubunge umekuwa jambo jepesi sana,niwaombe wabunge watakaopita hasa Ma prof na ma Dr wakakomae bungeni ili wabadilishe vifungu katika katiba kuhusu eneo la uwakilishi iwe kama ifuatavyo: 1. Elimu nikuanzia kidato cha 6 na kuendelea 2. Ubunge uwe na kikomo vipindi vinne...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hesabu nzuri inachezwa - Wapinzani kupata zaidi ya 50% ya Wabunge

    Nimempenda sana Membe. Ukweli nakipenda sana Chama changu cha Mapinduzi yaani CCM. Lakini pia sioni ubaya wa upinzani na zaidi Membe kanibadilisha. Nilikuwa nikimpalilia mno Tundu Lissu lakini kwa sasa ni Benard Membe na Tundu Lisu ndiyo wanashindania kura yangu. Ninajua sana kuwa ni kura moja...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo. Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chonde chonde Watanzania,msisahau mwenendo wa wabunge wa CCM wawapo Bungeni na hatari ya kuwarudisha tena Bungeni kwa wingi

    Nawakumbusha watanzania kuwa ni wabunge wa CCM ndio waliopitisha sheria zote katili na kandamiza kama zile za makato ya Bodi ya Mikopo,Sheria ya kuunganisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na Sheria ya kikokotoo kipya kilichozua malalamiko makubwa kutoka kwa umma. Nilisema jana katika mada yangu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wakumbusheni Watanzania madhara ya wabunge wa CCM yakiwemo kubariki (makato makubwa ya Bodi ya Mikopo, kuunganisha Mifuko, kikokotoo kipya)

    Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
  7. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge wa CHADEMA waliokataa kununuliwa wana nafasi kubwa sana ya kuchaguliwa tena na hii ni ishara ya anguko la wale waliouza utu wao

    Kwa mtazama wangu, matokeo ya kura za maoni ya watia nia wa CHADEMA, yanadhihirisha jambo moja kubwa: Wabunge waliokataa kuuza utu wao, wameaminika sana kwa wananchi na hivyo wana nafasi kubwa sana ya kushinda katika uchaguzi kama walivyoshinda katika kura za maoni. Mfano ni matokeo haya ya...
  9. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais atangaza Wabunge 2 kufariki kwa Corona, 25 wengine wanaumwa

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19. Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ndiyo 'Watia Nia' ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini walivyokubaliana 'Kujipendekeza' kuihudumia Lipuli FC ili iwape 'Tiketi' ya kuwa Wabunge

    Kama kuna Nchi ambayo dunia nzima Siasa zake si tu kwamba ni tamu kuzisikia na kuzitizama bali pia ni ' Komedi ' tosha kutokana na 'Vituko' vyake basi ni za nchini Tanzania. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida kabisa Watia nia ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini kutoka CCM, CHADEMA na ACT wameamua...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

    Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. SEGEREA Jumla ya kura 144 Agness lambert 76 John Mrema 56 Masatu Wasira 7 Gango Kidera 3 Andrew 1 Kura zilizoharibika 1 BUNDA MJINI Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiinua mgongo walichopata wabunge kinachangia rushwa na uondoa usawa

    BAadhi ya wabunge wasitaafu wanatumia kiinua mgongo waliachopata hivi majuzi kurubuni wajumbe na hicyo kuondoa keshima ya chama chetu. Kila kona rushwa. Hii inaondoa usawa kwa wagombea ubunge mwaka huu. Itakuwa vigumu sana wasio na pesa kupata ubunge. Tunaimba uongozi wa chama chetu ccm uwe...
  13. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wabunge na watia nia ambao kama watagombea hawatarudi bungeni 2020 kupitia vyama vyao au kisanduku cha kura

    Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea . 1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown. 2. Zitto - Kigoma Mjini 3...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani acheni agenda ya Urais: Jitahidini kupata viti vingi vya wabunge. Wingi wa wabunge bungeni, wewe ni "RAIS", maamuzi ya ndiooooooooo yatakoma

    Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita! Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka Sentensi hii ya Mwenyekiti wa chama huwa nawaashangaa wanaoamini watakuwa wabunge katika uchaguzi ujao

    Mwenyekiti wenu alitamka maneno kadhaa akiashiria kuwa ili mtia Nia yeyote kupitishwa kuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi itategemea siku hiyo ameamkaje" Sasa kwa sentence hiyo nawashangaa wale ambao wametangaza Nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho lakini wao moja...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge wa kuteuliwa na Rais wayavamia majimbo kwa kishindo, Alhaj Bulembo astaafu

    Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi. Dkt. Tulia yuko jijini Mbeya akijaribu kumtunishia misuli mbunge aliyemaliza muda wake Joseph Mbilinyi aka Sugu. Prof. Kabudi ametia nia kwa kishindo pale Kilosa mbele ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vina Wabunge wasomi wa kuunda baraza la Mawaziri?

    Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua. Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake. Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na...
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anakosea kwa kuamini kuwa anaweza wachagulia wabunge kwenye majimbo yao

    Tafsiri ya neno demokrasia ni kiongozi aliyechaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki kwa ajili ya kuwatumikia watu Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli katika ziara yake akiwa huko Kimamba-Kilosa, mkoani Morogoro akiwaambia wakazi wa huko kuwa eti walikosea kumchagua mbunge wao, kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kugawa vyeti kwa wabunge wa CHADEMA ni bora lingefanywa na CHADEMA Makao Makuu

    Nakumbuka siku chache baada ya Bunge kuvunjwa,nilitoa pendekezo kupitia Jukwaa hili la Siasa nikipendekeza wabunge wa CHADEMA waliomudu kumaliza ubunge wao wakiwa ni wabunge wa chama hicho wapewe vyeti kama njia mojawapo ya kuwapongeza kumaliza ubunge katika mazingira magumu waliokuwa nayo, na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka historia: Mwaka 2015 CHADEMA iliingiza bungeni 23% ya wabunge wanawake wa kuchaguliwa Majimboni

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 jumla ya wabunge 276 walichaguliwa majimboni kati yao wabunge wanawake walikuwa 26 na wanaume 250. Kati ya hao wabunge 26 wanawake, wabunge 6 walitoka chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Hiyo ni sawa na 23% ya wabunge wanawake wenye majimbo. CHADEMA hongereni...
Back
Top Bottom