Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 760
- 1,444
Kitu ninachojiuliza Kama wabunge karibu wote wa Bunge lililopita wengi wamerudi basi bunge lijalo litakuwa halina tofauti sana na ndo maana najiuliza huenda Spika Ndugai alijua hadi akawahakikishia wabunge wa CCM kuwa wote watarudi na mwezi wa 11 Mh Kessy alete hoja yake ya kubadili katiba ya kumuongezea jiwe miaka, ngoja tuone na kura za Viti Maalumu itakuaje leo