Uwakilishi wa kweli: Katiba itoe ulazima wa Wabunge kuwa Mawaziri

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,749
Huu utaratibu wa sasa wa kulazimisha Baraza la Mawaziri kuundwa kutokana na wabunge ni tatizo kubwa. Kwanza kuna viongozi wazuri ambao sio wanasiasa. Pili, kutoa wabunge wengi hivi Bungeni badala ya kutetea Majimbo yao wanakuwa watetezi wa Serikali. Vilevile ndiyo sababu wengi wanakimbilia Ubunge bila kuwa an niya ya kweli ya kusaidia bali watu wao bali kuingia Serikalini tu.

Hizo nafasi 10 za Rais hazitoshi
 
yaani ukiwa mbunge tu automatikali uwe waziri!? sasa tutakua na baraza LA mawaziri wangapi!?
 
Malalamiko yake na heading vinagombania kitu gani wakati vimetoka kwenye kichwa cha mtu mmoja?
 
Back
Top Bottom