Na Elius Ndabila
0768239284
Kwa wiki hizi kumekuwa na mjadala mzito ambao umechagizwa na maoni ya aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Anna Semamba Makinda aliyesema Ubunge wa viti maalumu ungekuwa na ukomo ili waende kugombea majimboni. Hii inamaanisha kuwa Mh...
Ningependa watu wajadili hoja hio ya Mh Mbatia kuwa NCCR Mageuzi, haikunufaika na Ukawa bali ilizamishwa na Ukawa? Je, kuna ukweli hapo? Maana sikufahamu Kama NCCR Mageuzi ilikuwa na wabunge 6 kabla ya 2015, na kabaki mmoja tu.
Kwamba aliitoa taasisi ya NCCR Mageuzi kisa Ukawa lkn hakulalamika...
Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipinga kupitisha muswada wa forodha.
Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia.
Source ITV habari!
Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara
Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini...
Sijasikia mbunge yoyote wa viti maalum kutoka CHADEMA au CUF aliyehamia CCM, ndipo sasa najiuliza why?
Yawezekana sijafuatilia vizuri, mwenye pingamizi Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali .
Hofu iliyopo ni kwamba watapitishwa na nani kwenye chama ambacho hawana mizizi hata ya size ndogo kama Caroti ama...
Wanabodi,
Kwanza angalieni hii picha
More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana
Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara...
Kama tujuavyo Chadema iliweza kuimarika sana baada ya ujio wa mzee Lowassa na rafiki zake katika chama hicho.
Lakini mara baada ya mzee Lowassa kuamua kurejea CCM na kundi lake Chadema wameanza kudhoofu na amkani hali si shwari.
Ujio wa kiongozi kijana J J Mnyika kama katibu mkuu mpya inaweza...
Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM.
Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
Najiuliza tu maana tangia wamchukue Lazaro Nyalandu kutoka CCM hawa jamaa wa CHADEMA hawajapokea diwani wala Mbunge tena kutoka chama tofauti.
CCM wao karibia kila mwezi wanapokea madiwani kutoka vyama vya upinzani wanaojiunga nacho kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli.
Je, CHADEMA kimepoteza...
Nasikitika sana kuona serikali inatulazimisha kuwa maskini. Ni ngumu sana kwa mfanyakazi kuwa tajiri kwa kutegemea kuajiriwa.
NSSF wanapokea kiasi cha asilimia 20 (10 kwangu + 10 mwajiri) hapo hapo Serikali nayo wanakata kiasi cha asilimia zisizopungua 25 mpaka 30 ya mshahara wangu kama kodi...
Wanajamvi, leo katika pitapita zangu jijini Arusha nimeona Gari likipeperusha bendera ya ccm, na nilipotazama vizuri nikaona Bango kubwa limebandikwa kwanye kioo cha nyuma limeandika - MAGUFULI 2020.
Je ndo kampeni zimeshanza kwa chama hicho au hilo bago lina maana gani?
Je Vyama pinzani...
Wabunge wametaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia miili ya wanaofariki na ndugu zao kushindwa kulipa gharama za matibabu kwa wagonjwa wanaofariki badala yake imetakiwa kusamehe.
Hoja hiyo ilitolewa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mussa Mbarouk wa Tanga wakati wakichangia...
Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi.
Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi...
February 4, 2020
Dodoma, Tanzania
Viwanja vya Bungeni: Wabunge watoa maoni zuio la Marekani
Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Constantine Kanyasu azungumza kuhusu zuio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, kwenda nchini Marekani na kusema haliwezi kuathiri Sekta...
Mawaziri wakuu wastaafu mzee Lowassa na Sumaye leo walikuwa kivutio kikubwa pale bungeni walipohudhuria sherehe za kukabidhiwa majoho yao maspika wastaafu Msekwa, Sitta na mama Makinda.
Mara baada ya kutambulishwa na Spika Ndugai wabunge waliweka itikadi za kisiasa pembeni na kuwashangilia kwa...
Wabunge wa Bunge la Seneti nchini marekani wamelalamikiwa na wanahabari kwa kuvunja Kanuni Zinazosimamia Shauri la Kumwondoa Raisi madarakani (Impeachment Trial Rules) kwa kuingiza pipi na vitafunwa kwa siri kwenye Ukumbi wa Bunge.
Kwa mujibu wa kanuni hizo, vyakula na vinywaji vimekatazwa na...
Mwaka 2011 Julai 27, lilitoka gazeti la kila wiki la ijumaa wikienda likiwa na shutuma ya mbunge wa chadema kawe na wakati huo mbunge wa CCM viti maalumu Bunda kuwa WANASAGANA
katika gazeti hilo wabunge kadhaa walihojiwa na kukiri kuwa tetesi hizi wamezisikia pia ndani na nje ya Bunge. wahusika...
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-
1. Mh Nape
2. Mh. Ngeleja
3. Mh Kitwanga
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.