vijana

  1. Doto12

    JamiiForums Tanzania Mimi almaarufu madevu, huu uchebe wa vijana wa siku hii mimi basi imetosha

    Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa. Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya mbuzi. Mdogo na kidevu ndio kabsaaa. Siku hzi vijana wameiga yaani inaboa na haivutii nahisi tangu...
  2. buzitata

    JamiiForums Tanzania Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

    Habari zenu Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliozaliwa na VVU na Vijana wanaojiuza kwa Watu Wazima watajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari. Dkt. Adeel Shah...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Rais Samia

    Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa. Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa...
  5. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Vijana mnapo copy contents zetu hapa JF toeni credits kwetu nakwa JF pia

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kumekuwa na wimbi la vijana waiba contents bila kutoa Credits kwa wahusika. Binafsi nimeona contents zangu (Hasa Simulizi zangu) zikiwa zinatumiwa na Vijana katika mitandao ya Facebook,Twitter,Instagram na Telegram. Naelewa Vijana mnajipatia chochote...
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kuna haja serikali ikaanza utambuzi wa shughuli za watu mijini na vijijini wasio na kazi waende wakalime kwa lazima

    Unaweza kuona hoja ya kitoto ila ukweli ni kwamba kuna asilimia kubwa ya watu mjini na wengine vijiji wana nguvu ya kufanya shughuli zenye tija za kuleta maendeleo yao binafsi na taifa ila wapo wamekaa tu vijiweni wanapiga soga asubuhi mpaka jioni wanaishi kijanja ujanja na wapo kulaumu serikali...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aizawadia Timu ya Taifa (Zanzibar) ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Shilingi Milioni 50

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys), Ikulu Tunguu visiwani Zanzibar leo tarehe 25 Novemba, 2023 ameizawadia timu hiyo...
  8. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kukosa akili au ndo Utandawazi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumeibuka wimbi la Vijana na wanaume kuvaa Chupi ambazo wao wanaziita "VINJUNGA" Hivi Vinjunga inapaswa uelewe mara zote zinakuwa hazizidiani sana na Boxer,yaani wewe fikiria mtu anavaa Kinjunga na anatembea bila wasiwasi mjini kote huko! Ni...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Sijajua sababu inayofanya Vijana wengi hapa JF kunichukia ni ipi!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Mimi UMUGHAKA nimekuwa nikichukiwa sana na Vijana hapa JF tangu nilipokuwa Mwanachama Bora wa jukwaa la Michezo mwaka 2022. Yaani kuanzia hapo ni kama nilitonesha vidonda vya miongoni mwa vijana wengi wenye roho mbaya hapa JF!. Ni kwanini Vijana mnakuwa...
  10. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!. Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!. Askari ambao tulitegemea...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  12. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!. Hili Taifa la...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Ukraine wakimbia usajili katika jeshi na hawakamitiki tena

    Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu. Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova, Poland na Hungary. Baada kuona wakipita...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je viongozi wengi kuwaponda vijana ni mbinu ya kuwanyong'onyeza ili waendelee kula keki ya taifa peke yao?

    Kumponda kijana, kumvunja moyo na kumtamkia kauli za kumkatia tamaa ni kushambulia uti wa mgongo wa taifa. China imepromote vijana, hadi leo ndio nchi inayoongoza kuwa na malaki ya mabilionea under 30. Tukumbuke wakina Nyerere, Salim etc walianza kung'aa wakiwa vijana. Kumeibuka kundi la...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tusidharau vijana. Haya matamko ya kuwasema vibaya na kuwakatisha tamaa yazuiwe

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia kuona watu mbalimbali maarufu (Public figures) wakitoa matamko yanayokatisha tamaa na kuwakera vijana. Siwezi kurudia yaliyosemwa ila mengi yana ukakasi. Ifike hatua serikali, CCM na upinzani wawe makini sana na watu wote hasa viongozi wanaotoa kauli za...
  16. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi waliokuwa wakitumikia sehemu za ibada huharibikiwa wakiwa watu wazima?

    Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii. Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili. Linatugharimu sana Vijana na kutuangusha kiuchumi

    Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia. Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

    JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako. NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama: Vijana Kati ya Miaka 15-24 Waongoza Maambukizi ya VVU - UKIMWI

    Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%). Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameyasema hayo mapema...
Back
Top Bottom