Vijana msikimbilie kuoa kabla hamja jitambua!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Ni kweli vijana hawaoi mapema kama zamani . Raisi kaongea haya kama vile ni tatizo la jamii kwa mawazo yangu tatizo ni yeye kutokuelewa Dunia imebadilika.

1. Utamaduni wa zamani wa wazazi kukutafutia mchumba umepitwa na wakati
2. Kuwa na wake wengi pia kumepitwa na wakati kwasababu wanawake wa siku hizi na maisha yanahitaji wazazi wote kuwepo
3. Urafiki baina ya waonao ni muhimu sana bila hivyo mtaishia kugombana
4. Watu wanao oana kwenye 30’s wanakaa kwenye ndoa kuliko vijana wa 20’s ambao wengi bado hawajajitambua.

Hivyo nawashauri vijana msiharakishe na kubaki wenyewe baada ya miaka michache. Tumieni muda kujenga biaahara , ajira na kujijua kabla ya kuoa msije kujuta.

Mama Samia kama unawapenda vijana wape katiba nzuri na sheria nzuri ambazo zitawaonyesha huko mbele kukoje badala ya genge la watawala
 
Kuoa ni kuuvaa mkenge.
 
Katiba tuliyonayo inatosha CHADEMA
 
IMG-20240121-WA0131.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ni Rais wa waoaji maana yupo busy na masuala ya mapenzi na faragha za watu kama vile ndio kazi iliyo muweka ikulu
 
Mambo unayosema yamepitwa na wakati ndio yalikuwa lengo la ndoa ...Sasa angalieni mnavyofeli na usasa wenu..

Pambaneni na kizazi cha hovyo..
 
Akaongee na wajomba zake urabuni waje watudhamini mtu ukioa unapewa nyumba na mtaji
 
Back
Top Bottom