Nakerwa na tabia ya vijana kuponda na kudharau mikoa yao baada ya kufika Dar

plus_ix

JF-Expert Member
Jul 10, 2022
580
1,422
Habarina wana jukwaa mambo sio mabaya wala mazuri hii ni January

Bila kupoteza wakati moja kwa moja kwenye mada.

Kumekuwa na kasumba ya vijana wengi kwa sasa kudharau mikoa yao waliyotoka kwa kuilinganisha na dar nilikaaa na jamaa zangu waliozamia darslam stori zao zote nikuponda tu mikoa yao waliotoka mara amna sehemu wanapika pizza mara mkoa mzima auna mtu anajua kupika biriana mara hakuna viwanja vikali vya bata mara mkoa umepoa huu siwezi maliza mwezi lazima niondoke

Watu wenyewe wanaoponda mikoa yao huko dar hawana maisha kabisa wanakaa uswahilini tena unakuta mtu kapanga chumba kimoja sebule iyo iyo jiko ilo ilo na chumba cha kulala humohumo lakin kejeri kwa mikoa mengine kama ana kaa ikulu vile wakati kila kutwa anagombania daladala ataela ya bolt hana sas iyo nguvu ya kuzarau mikoa sijuh inatoka wapi wakati fika kuna maisha mazuri yenye ustarabu kushinda ilo jiji lenu la ovyo la kuitwa dar es Salaam
 
Shida inaanzia pale ambapo vijana wengi wa wanao ishi dar wakiwa mikoani kwanza wanaishi maisha ya kuigiza kwanza unakuta anasema hakuna viwanja vya kuinjoi ,mtu huyo hata hivyo viwanja vya Dar hajawahi kwenda..........
 
Habarina wana jukwaa mambo sio mabaya wala mazuri hii ni January

Bila kupoteza wakati moja kwa moja kwenye mada.

Kumekuwa na kasumba ya vijana wengi kwa sasa kudharau mikoa yao waliyotoka kwa kuilinganisha na dar nilikaaa na jamaa zangu waliozamia darslam stori zao zote nikuponda tu mikoa yao waliotoka mara amna sehemu wanapika pizza mara mkoa mzima auna mtu anajua kupika biriana mara hakuna viwanja vikali vya bata mara mkoa umepoa huu siwezi maliza mwezi lazima niondoke

Watu wenyewe wanaoponda mikoa yao huko dar hawana maisha kabisa wanakaa uswahilini tena unakuta mtu kapanga chumba kimoja sebule iyo iyo jiko ilo ilo na chumba cha kulala humohumo lakin kejeri kwa mikoa mengine kama ana kaa ikulu vile wakati kila kutwa anagombania daladala ataela ya bolt hana sas iyo nguvu ya kuzarau mikoa sijuh inatoka wapi wakati fika kuna maisha mazuri yenye ustarabu kushinda ilo jiji lenu la ovyo la kuitwa dar es Salaam
Ndugu wewe unayaona ya Dar.
Wapo wapondaji wa Nchi nzima ya Tanzania na Watu wake halafu wanajinasibu kuwa wao ndio Wazalendo na Watanzania wa kweli.

Wanajua Ukraine na makombora waliyo nayo, wanajua Israel na makombora waliyo nayo, yani taja Nchi yeyote ile nje ya Afrika wanajua kila kitu, mtaani kwao Ufipa St hawapajui.

Inakera kweli.
 
😅😅😅Hao wengi ni wavuta bhangi yaani anajifanya kama mtu wa mbele fulani ,siku akifa anarudishwa kwao kweny nyumba ya miti.

Baadhi ya vijana wanapoteza muda wa kufanya maendeleo kwa sababu za ushabiki wa kijinga ...Dar kuna fursa je wao wanatumia vizuri hizo fursa maana wakipata pesa wanamalizia huko kidimbwi mtu miaka 40 hana maendeleo ,kazi kushangaa magorofa tu.
 
Back
Top Bottom