Magonjwa tishio kwa vijana

Newbies

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,494
2,166
Katika Uzi huu nitaorodhesha magonjwa tishio kwa vijana 90% hutokana na Ngono na Uraibu
1. Ugonjwa wa Figo
Visababishi
-UTI isiyotibiwa
  • ulevi
  • high blood pressure isiyodhibitiwa
-Matumizi ya sigara
-kutokufanya mazoezi
- Kutokunywa maji

2. UTI
-Ngono isiyosalama
-Masuaka ya Usafi

3. HIV/AIDS
-ngono isiyosalama

4. Homa ya ini
- Ngono isiyosalama
-Visababishi vingine

5. H. Pilory (vidonda vya tumbo
-Ngono isiyosalama ( dip kiss)
-Visababishi vingine

6. Brucellosis (maumivu ya viungo)
-Ulaji wa mazao ya mifugo yenye bacteria
-

7. PID
Ngono isiyo salama
-maambukizi mengine

8. Afya Ya akili
Visababishi
-kipato Duni
- Visababishi vingine vya kimazingira
 
Ndio, Kuna bacteria wanaoitwa Helcobacter pilory Wana ambukiza kwa njia ya mate na maji maji wakiingia katika mfumo wa chakula wanasababisha vidonda vya tumbo
Ngono isiyosalama inasababisha ulcers?
 
Kwanini mnasahau AFYA ya AKILI?.. mfano wenye tatizo la AFYA ya AKILI mtawaona kwa mifano hai.. fatilia tu comments chache ktk huu uzi.
Magonjwa ya akili??
Hiki kimekua ni kichaka Cha kufichia udhaifu wa watu. Watu wameshindwa kupambana na uhalisia wa maisha na badala yake wanajifichia kwenye ugonjwa
Eti unakuta mtu anaumwa depression, stress, phobia
Psychiatry disorder za kueleweka ni zile neurodegenerative disorder (Alzheimer's, Parkinson's disease), organic disorder (delirium, dementia, amnestic syndrome, organic delusional syndrome, organic hallucinosis, organic affective syndrome and organic personality syndrome)
Watu tupambane na uhalisia wa maisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Uzi huu nitaorodhesha magonjwa tishio kwa vijana 90% hutokana na Ngono na Uraibu
1. Ugonjwa wa Figo
Visababishi
-UTI isiyotibiwa
  • ulevi
  • high blood pressure isiyodhibitiwa
-Matumizi ya sigara
-kutokufanya mazoezi
- Kutokunywa maji

2. UTI
-Ngono isiyosalama
-Masuaka ya Usafi

3. HIV/AIDS
-ngono isiyosalama

4. Homa ya ini
- Ngono isiyosalama
-Visababishi vingine

5. H. Pilory (vidonda vya tumbo
-Ngono isiyosalama ( dip kiss)
-Visababishi vingine

6. Brucellosis (maumivu ya viungo)
-Ulaji wa mazao ya mifugo yenye bacteria
-

7. PID
Ngono isiyo salama
-maambukizi mengine

8. Afya Ya akili
Visababishi
-kipato Duni
- Visababishi vingine vya kimazingira
Nyimbo zetu, mirungi, mishisha, mibangi selemani
 
Back
Top Bottom