vijana

  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Vijana mliomaliza vyuo kwanini mnavuta bangi?

    Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa. Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk Mimi nashangaa sana halafu unakuta...
  2. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Unajua ni kwanini zamani inasemekana kulikuwa na watu wengi wenye akili?unajua kwanini vijana maisha ni magumu?

    Kila zama na nabii wake,walikuwepo wakina adamu,nuh na akina ibrahimu wote walikuja wakati ambao dunia haimtambui mungu na ujio wao ulikuwa ni wenye lengo la kutambulika kwa nguvu kuu yenye mamlaka dhidi ya nguvu zote,katika zama hizi habari zilikuwa hazina ukubwa kiasi cha kusambaa kila eneo...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

    Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana. Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni. Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa...
  4. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Vijana wamekuwa wa ovyo

    Kuna mdau nimesoma post yake humu anajuta kumunganishia mtu kazi,hii kidogo ifanane nayo kwa mbali Kuna dogo mmoja around 25 anapiga kazi zake za Bajaj muda mwingine unakuta amepoa tu mtaani anasikilizia! Sasa sisi mara nyingi kwenye high season tunafanyaga kazi za kupanda mlima Meru na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wadogo wa kuajiriwa

    Kama yupo kijana mdogo, umri kuanzia miaka 18 hadi 20 asiyesoma shule, anayetaka kuajiriwa kwa ajili ya biashara ndogondogo kwa mshahara mzuri maeneo ya Tabata anitafute nimpe connection.
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Divisions (Madaraja) yapangwa upya vijana wajiandae vizuri. Division one mwisho 13

    Miaka ya hivi karibuni naona kuna mafuriko ya division one mpaka zimekosa thamani yake. Sasa huu ni wakati sahihi kwa wizara ya elimu kurekebisha madaraja. Madaraja mapya yanapaswa kuwa hivi; Division one inapaswa iwe kuanzia one ya 7 mpaka 13. Inamaana kuwa ili mtu uhesabike umepata...
  7. D

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana mnakwama wapi? Kuna kijana nilimuunganisha ajira hata asante hajanipa anataka nimtafutie ajira sehemu nyingine sasa

    Hello! Huyu dogo kama atakuwa humu atasoma bandiko hili maana si baya kivile. Imepita mwaka sasa tangu nimuunganishe kwenye ajira (sekta binafsi) kama dereva wa malori. Kampuni kubwa tu hapa Bongo. Anapokea around 500k -800k kwa mwezi. Sasa ile stori na wenzake anapata kujua fursa zaidi kwenye...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa vijana wetu (Dear Vijana)

    Wadogo zangu vijana wa Kitanzania habari zetu. Mimi ni kijana mkubwa 40+ na napenda niwaandikie barua kutoka moyoni kwangu kwa ninayo yaona miaka hii na kwa nchi yetu ya Tanzania. Mambo nitakayo yasema unaweza usayaelewe kwa wakati huu kutokana na umri wako au uzoefu wako kwenye maisha lakini...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

    Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂

    Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂 Dharau Ujuaji Kukosa Heshima Ubinafsi Chuki/Genye Unafki/Ufitinishaji Majungu/Roho Mbaya Najua huwezi kosa kimoja hapa jitahidi kupunguza sasa 😊
  12. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Majina ya kazi yanafanya vijana wachukie na kudharau kazi

    Majina kama kuli, nyoka, bodaboda, mzibua vyoo na mzibua mitaro hayawezi kukupa morali ya kazi. Badala yake, fani hizi tukufu zingetumia majina kama 1. Kuli (angeitwa afisa wa mizigo) 2. Nyoka (angeitwa afisa msaidizi wa uchimbaji) 3. Bodaboda (angeitwa afisa msafirishaji) 4. Mzibua vyoo na...
  13. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

    Salute, Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha. ✔️Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo ✔️Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha...
  14. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Vijana Katika Ujasiriamali

    Ajira imekuwa changamoto kubwa kwa vijana katika siku hizi, Serikali inaendelea kuhamasisha vijana kujiajiri kwa kuanzisha biashara zao wenyewe ili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Hata hivyo, licha ya juhudi hizi, vikwazo vya kifedha vinavyowakabili vijana hawa vimekuwa kikwazo kikubwa...
  15. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Kuvuja kwa video ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na uchawi ni kinyume na sheria

    Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu. Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

    GreatThinkers Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi. Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
  17. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

    Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi. Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wakamatwa kwa uchawi

    Kuna msemo niliwahi kuusikia unasema "Siku hizi wachawi sio wazee". Nadhani huo msemo unaendana na hili tukio la vijana hawa kushikiliwa na jeshi la Polisi kwa Uchawi. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania AJIRA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri Kwa vijana baada ya kumaliza vyuo

    Karibuni.
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa Kipalestina waingia barabarani wakilaani HAMAS

    Kumekucha, wameanza kutia akili, kimsingi haitokuja waue Wayahudi wote, hivyo lazima wakubali kuishi kwa amani. Kila nikikumbuka picha ya huyu mwamba huwa nacheka sana, alidhani vita ni zile movie za kihindi https://www.instagram.com/reel/Cz_c9SDt4TH/ https://www.instagram.com/reel/Cz_c9SDt4TH/
Back
Top Bottom