sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Nayaongea haya mchana huu ikiwa nimepigiwa simu na kijana graduate niliemtaftia kazi mwezi wa 11 mwaka jana kuniambia kafukuzwa kazini, ishu yake ni kwamba alikuwa mtu wa kutoka toka muda wa kazi.
Ajira za serikalini mambo ya kutoka wakati wa kazi yamezoeleka, waweza fanya masihara utavumiliwa, ukifanya msala unaweza kubadilishwa kituo ama kusimamishwa kwa muda, ni mpaka a ufanye makosa mazito sana ndio utatimuliwa.
Tukija kwenye biashara zetu hizi watu binafsi ama wenye makampuni yao kuweni makini sana, makampuni haya yanaendeshwa kwa faida na unapoonekana unatia dosari kwenye faida aidha kulipwa mshahara wakati hufanyi kazi, udokozi, kupumzika sana, n.k. basi wala hucheleweshwi