Vijana wa Tanzania bado wanauelewa mdogo kuhusu siasa hivyo Rais Samia endelea kuteua wazee kwanza

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,025
45,576
Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally.

Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji Wa CCM.

Ukija kwa upinzani hawa kiasi chake wanakuaga na hoja nzuri ila tatizo lao kubwa ni lile la kusapoti kila kitu cha viongozi wao hata kama sio sahihi.

Hivyo nawapa ushauri vijana ikiwa mnataka kufanikiwa katika siasa jikiteni katika kutoa mawazo constructive , mfano nchi ipo katika changamoto ya Umeme, uhaba wa sukari n.k.

Je mnashindwa kutoa mawazo yenu mkaishauri serikali hatua muhimu za kuchukua.

Vijana msipobadilka teuzi nzuri mtazisikia tu kwa WATU.
 
Unaishauri serikali ya wajuaji!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom