uzi maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Uzi wa wala daku 2024

    Ndugu waumini, mimi mudahuu ndio nimemalizia kula daku wewe je?
  2. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wanaosubiria ajira za afya ngazi ya jamii

    Habari wanajf, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Serikali ya Rais Samia suluhu imedhamiria kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 28000 mikoa yote Tanzania bara kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Na watakaochaguliwa watapata fursa ya kuhudhuria mafunzo ya miezi sita ambayo yanagharamiwa na...
  3. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi(watingaji) kwenye kampuni za kigeni.

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (yappi, chico, cce, crsg au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reri, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.K .Tupeane changamoto,uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  4. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi (watingaji) kwenye kampuni za kigeni

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (YAPPI, CHICO, CCE, CRSG au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reli, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.k. Tupeane changamoto, uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  5. X

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

    Wakuu mko vyede, Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho. Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuelezea mafanikio uliyoyapata 2023 na mipango ya 2024

    Karibuni tuelezee mafanikio tuliyoyapata 2023 na mipango ya 2024.Binafsi 2023 nimetoka kapa ila namshukuru Mungu. 2024 mipango yangu ni kuanzisha biashara, kununua kiwanja/viwanja, pamoja na kununua gari hata kama ni old school. Ee Mwenyezi Mungu unisaidie
  9. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuelezea uongo kutoka kwa waganga

    Nitasema ukweli daima,Salamu kwangu Mwiko! Sijajua kama wapo waganga wa Kweli kama tunavyoaminishwa ama laa! Miaka fulani wakati najitafuta kama kijana,hali ya maisha ilikuwa ngumu sana,katika kujichanganya na wana mitaani nikakutana na mwana mmoja huko mkoani akaniaminisha ya kwamba kuna...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa Nyimbo za Injili (Gospel Music Special Thread)

    Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta wimbo fulani wa injili bila mafanikio. Basi ataomba wimbo huo hapa jukwaani na atatumiwa na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  12. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Kutupia Vitabu vya kiroho visivyotumiwa rasmi na Wakiristo

    Wadau wote Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo. Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon Karibuni tupeane maarifa Sabato njema Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.
  13. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Muziki wa Reggae

    Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla. Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali; 1. BOB MARLEY No woman no cry Buffalo...
  14. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza Cybersecurity,Jinsi ya kujizuia kupata Cyber Attack Pia Ethical Hacking kutumia Termux na Linux enviroment

    Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu, kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote... Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Ya kale ni dhahabu

    Huu ni uzi maalumu unaojumuisha maisha yote ya kale tuliyoyaisha ,mashujaa wetu wa enzi hizo visa vyao na burudani kwa ujumla. Karibuni .
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

    Hii ndio timu pekee inayoshiriki ligivkuu kutoka mkoani Kigoma. Mashujaa FC ni timu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, na msimu huu 2023/2024 wamepanda daraja baada ya kuifunga timu ya soka ya Mbeya City Fc kwenye mechi zote mbili. Mpaka sasa Mashujaa FC IMECHEZA mechi tatu...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya misimamo na mambo yanayohusu JamiiForums Fantasy League 2023

    Habari wapenzi wa Fantasy League ,huu ni uzi maalumu kwa ajili ya ligi yetu pendwa ya JamiiForums Fantasy League .joining code hsyx67 GW 1 Top 10 Top 10 after GW 2 GW 5 msimamo Gw 11
  18. BRN

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani

    Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  20. M

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Kwa ajili ya ku-share Vitabu vya kilimo na ufugaji

    Habari zenu, Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia kupanua maarifa na ujuzi katika sekta hizi. Vitabu hivyo viwe katika mfumo wa (softcopy) yaani PDF...
Back
Top Bottom