uzi maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jastertz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua wana JF wengi wanatokea wapi..

    Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes. Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale. nianze mimi Arusha- sanawari
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Picha za wanasoka wa zamani

    Tupia picha yoyote iwe ya zamani inayohusu wasakata kabumbu iwe Tanzania, Africa na hata Ulaya.
  3. Termux

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

    JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D. Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender. Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake...
  4. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo kundi lako la kiwango cha Utashi

    Nadhani umeshawahi kusikia mtu akisema "...tatizo una IQ ndogo sana.." na wewe bila kuchanganua hoja yake ukakasirika. Inawezekana ni kweli au sio lakini je IQ ndiyo kigezo pekee Cha kupima utashi wa mtu? Hebu tiririka nami kwenye hii makala fupi sana. "Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina...
  5. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa updates za Rivers United vs Dar es Salaam Young Africans

    Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo, Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha mpira cha kila mmoja 📌1)Dar Young Africans walicheza Jana mechi ya Kombe la Azam na kuibuka na ushindi...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Lady Jaydee. Sema ni kwa vile nilichelewa kufanikiwa

    Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa kweli Lady Jay Dee, kama ningekuwa na pesa kipindi kile ningekutafuta nikuoe kabisaaa, nikuweke ndani...
  7. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu. Kuonyesha maumbo ya KIBANTU ya MWANAMKE WA AFRIKA

    Naaamu achana na hawa slim body,tupia picha ya mwanamke halisi wa kibantu.
  8. Protector

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wenye ndoa

    Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha. Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana tukawavuta wale ambao hawataki kuoa/kuolewa. Karibuni sana
  9. rutajwah

    JamiiForums Tanzania uzi maalumu wa kupeana updates kwa tulioomba fursa za mafunzo ya kilimo bihawana

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, huu uzi ni maalum kwa wale walio omba mafunzo ya kilimo kwa vijana, yatakayofanyika Bihawana Dodoma. Mpaka dirisha linafungwa vijana 16 elfu walikuwa washatuma maombi source, Kituo cha bihawana kina uwezo wa kuchukua vijana 74 source, mwenye updates...
  10. Acehood

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kutoa ya moyoni

    Malizia hasira zako kwenye huu uzi. Ropoka yote yanayokusumbua, iwe mwenye nyumba, timu, mchezaji, mwana jf, mwanasiasa n.k
  11. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kitaalam kwa haya yaliyonipata nikiwa mtoto

    Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi. Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu. Kwa mujibu wao na watu walionilea ni kwamba nilikuwa active sana na, nilipenda kujifunza, I was a prodigy. Kwa kumbukumbu...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Tabia zinazokera katika jamii

    Naandika uzi huu kwa kumuunga mkono mtangazaji mkongwe (mstaafu) ndugu Leonard Mambo Mbotela aliyekuwa akitangazia Voice of Kenya (VoK) na baadaye Kenya Broadcasting Corporation (KBC) katika kipindi maarufu kilichovuma wakati huo kwa jina la “Je huu ni uungwana?” Katika kipindi hicho, Leonard...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Tukumbushane mazuri ya viongozi wetu

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Uzi huu ni mahususi wa kuyakumbuka mazuri ya viongozi wetu ambao wa ngazi ya kitaifa. Viongozi hawa ni wa kisiasa ambao wapo serikalini au kambi ya upinzani. Viongozi ambao wapo hai au wametangulia mbele za haki. Niwaombe wanajukwaa tufunguke yale mambo ambayo...
  14. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wasiotaka kuoa wala kuolewa

    Hii ni sehemu maalumu kwa wale wote wasiokuwa na mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mgumu.
  15. Championship

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  16. N

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Vyanzo zaidi vya mapato na tozo kwa Serikali vipo vingi sana

    Tuache utani hii serikali inachapa kazi jamani, raia wako very happy wanasema mama anaupiga mwingi hadi unamwagika, Mungu awape nini watanzania kupata Rais ambaye anachapa kazi masaa 24 kwa ajili yao halali kabisa. Tuache kulalamika kuhusu TOZO , vitu vidogo sana ni lazima serikali itoze tozo...
  17. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Umejipangaje kustaafu, utajishughulisha na nini uzeeni ili kuingiza kipato ili usiishi kwa mateso?

    Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
  18. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa men's wear

    Hii itamsaidia mwanaume kujua kuvaa nini na akiwa wapi ( gentle outfit's )
  19. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Eleza vimbwanga ulivyowahi kukutana navyo hospitali, vituo vya afya na zahanati

    - Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama...
  20. Championship

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jeshi la Polisi lifungue uzi maalumu hapa JamiiForums

    Ninaliomba Jeshi la Polisi liweke uzi hapa jukwaani ili wapokee maoni mbalimbali ya wananchi.
Back
Top Bottom