UZI MAALUMU: Kwa ajili ya ku-share Vitabu vya kilimo na ufugaji

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
1,932
4,083
Habari zenu,

Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia kupanua maarifa na ujuzi katika sekta hizi.

Vitabu hivyo viwe katika mfumo wa (softcopy) yaani PDF.

karibuni nyote.
 
Mwenye kitabu cha mwongozo wa ufugaji samaki aina ya sato. Iwe kwenye ponds au cages. Lugha kiswahili au kiingereza.
 
Back
Top Bottom